Uchaguzi 2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

Pamoja na yote hayo, bado Magufuli anastahili kuwa Rais kwa miaka mingi ijayo. Chama cha Mbowe, hakina viongozi mule magarasa matupu.
 
Pamoja na
Pamoja na yote hayo, bado Magufuli anastahili kuwa Rais kwa miaka mingi ijayo. Chama cha Mbowe, hakina viongozi mule magarasa matupu.
Bora jini ulijualo sivyo?

Magufuli kiongozi mzalendo sana, lakini tatizo lake ni ukatili, kutoshaurika, uvunjaji wa haki za binadamu, ukiukaji katiba, bullying, arrogance na chuki dhidi ya upinzani. Akiondoa hivyo he is the best president in the world
 
Nimemaliza kufanya booking na air tanzania, jioni nipo Dar, fahari sana kusafiri na ndege ya shirika la ndege la nchi yako! Mkuu karibu soko la dhahabu uone vijana wadogo wanavyokamata fedha na hapo ndio utajua kuishi kwa kutegemea madili na wizi kuna life span fupi sna!
Kusafiri kwa ndege ni fahari sana, hata ikiwa ni fast jet, sio lazima iwe ya shirika la nchi yako. Inaonekana ni experience yako ya kwanza.
 
Mko wangapi?
Wapo wengi sana+wafanyakazi wenye machungu ya kutoongezwa mishahara, wanafunzi waliokosa mikopo na wengineo ambao riba imeongezwa kihuni na serikali dhalimu inayoongozwa na dikteta john, wakulima wa pamba na korosho waliodhulumiwa haki zao, ndugu jamaa na marafiki wa familia ambazo watu wake walitekwa, kuuawa, kusingiziwa kesi kwa baraka za john, watanzania wasio na chama ambao ni wapenzi wa kuona haki na usawa vinatendeka, watanzania ambao wamebaguliwa kwa kipindi cha miaka5 kwa itikadi zao za vyama, nk, john hapati hata 7% ya kura, maana hata ccm nao wamemchoka, wanasubiri nani atamfunga paka kengele
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Pamoja na
Pamoja na yote hayo, bado Magufuli anastahili kuwa Rais kwa miaka mingi ijayo. Chama cha Mbowe, hakina viongozi mule magarasa matupu.
Mwanetu pamoja na mumeo kuwa mlevi na anakupiga sana bado ni mumeo, baba watoto wako, anakulisha na kukutunza, rudi nyumbani. Hayo ni maneno ya watu wasio na akili timamu.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom