ni vipi ntaupgrade firmware(gingerbread) to jelly bean

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,611
2,000
jamani nna galaxy s2.... android version 2.3.6 nataka niipandishe kwenda jelly bean.... nimejaribu kies inaniletea tatizo la connection error..
2* hii simu ina android market ...how can i get playstore instead...
~~~~~maana nimeshindwa kuipata instagram
......cc chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,611
2,000
kuhusu update to jellybean. software update .inasema this country not supported
 

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,611
2,000
ntajaribu mkuu...ntasoma tutorials google... ila kuna siku nliweka option ya kudownload odin..ilokaa kama masaa 2 in dowloading mode ..nkatoa betri kaweka tena...ikawa aborted... ill ask u more kaka
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,788
2,000
kaka nimeichoka Tecno p3 emu nipe basics za kuweka custom ROMS
na je is it possible kwa hii simu?
nipe maujanja niifanyie zoezi maana hii simu tena nikimeo

huwezi kuweka custom rom yoyote tu ile mpaka iwe optimized kwa simu yako. kueka rom ambayo si ya simu yako kunaweza fanya simu iwe bricked na isitumike tena.

generally kuinstall custom rom ni easy utahitaji vitu vitatu tu.

1. simu ambayo imeshakua rooted
2. install super su
3. install cwm

hii cwm na super su ni apps tu.

ukishakua navyo unadownload rom unaeka kwenye folder lolote la simu halafu unaboot kwenye recovery na hapo cwm itafunguka na kukupa option ya kuinstall zip from sdcard utachagua lile file na kuiflash simu.

nimefanya simple search hapa naona kuna rom ya p3 inaitwa eblack hivyo wewe fanya hivi. (na assume usharoot simu yako)

1. nenda hapa kajifunze kueka cwm kwenye simu yako

All about Android and more: how to install clockworkmod (cwm) on tecno p3 and n3

2. nenda link hii utapata hio custom rom na super su
All about Android and more: Custom rom eblak for tecno p3/n3 Android 4.0

fata maelezo yake kama hujaelewa tumia yangu ya juu
 

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,717
2,000
Nilishai-ROOT P3 taari sasa kosa nililofanya nili-move app zote nilizodownload kwenda sd card yaani hapa hadi super user nikaipeleka sd card afu nimekuja kumpa mtu aweke kwenye camera yake nikasahau ...nilipoharibu juzi imeanza kuwa slow ku-load niki-reboot nikaona nifanye factory reset sasa hii root acess niliyokuwa nimepata kwa kutumia POOT app naona imepotea..

kwa sasa napata tatizo
problem parsing the package
 

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
250
chief mkwawa simu yangu htc sense - incredible s. mwanzo ilikuwa ina roo automatically after system updates, lin sasa hivi haikubali nifanyaje??? msaada tafadhali
 

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
250
chief mkwawa simu yangu htc sense - incredible s. mwanzo ilikuwa ina root automatically after system updates, lakini sasa hivi haikubali nifanyaje??? msaada tafadhali
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,788
2,000
chief mkwawa simu yangu htc sense - incredible s. mwanzo ilikuwa ina roo automatically after system updates, lin sasa hivi haikubali nifanyaje??? msaada tafadhali

kaka unajua kuroot simu manufacture hawapendi hivyo wanapotoa updates ujue wanafix lile tundu la mwanzo ulilotumia kuroot mpaka udhaifu mwengine upatikane.

os yako ni version ngapi?
 

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
250
nashukuru sana Chief Mkwawa kwa ushauri na.msaada wako. Nakutakia heri, baraka. na fanaka za Xmas na mwaka mpya
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,554
2,000
jamani nna galaxy s2.... android version 2.3.6 nataka niipandishe kwenda jelly bean.... nimejaribu kies inaniletea tatizo la connection error..
2* hii simu ina android market ...how can i get playstore instead...
~~~~~maana nimeshindwa kuipata instagram
......cc chief-mkwawa

Mi natumia S2 pia na nine upgrade kwenda KitKat sazi...just search Google how to manually install jelly bean au KitKat to s2 utakutavnjia nyingi tu na downloads zake..
 
Last edited by a moderator:

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,717
2,000
reset simu then anza upya kuroot

ku-root nimemaliza lkn root checker inanambia I have no special root acess
Lkn apps zinazoitaji root acess zinakubali e.g root explorer imekubali na nilichokifaanya nikuingia kwenye system na kufuta .apk zote ambazo situmii e.g callcare,assistant,flashshare,AF market etc nime free ka 150MB za internal
sasa ngoja nikomae na hii custom ROM

Lkn ku-back up hiii ROM iliyomo nafanya je maana sijui ntaweza fanikiwa au la?
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,788
2,000
ku-root nimemaliza lkn root checker inanambia I have no special root acess
Lkn apps zinazoitaji root acess zinakubali e.g root explorer imekubali na nilichokifaanya nikuingia kwenye system na kufuta .apk zote ambazo situmii e.g callcare,assistant,flashshare,AF market etc nime free ka 150MB za internal
sasa ngoja nikomae na hii custom ROM

Lkn ku-back up hiii ROM iliyomo nafanya je maana sijui ntaweza fanikiwa au la?

huwa inakuja na option ya kubackup hiyo cwm hivyo backup kabla hujaflash
 

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,611
2,000
mkuu chief-mkwawa merry x~mass kwanza.....
haka kakidude kangu pia hii built in radio naona region yake ni USA na EUROPE sipati channel za kibongo...zaidi ya app za kustream online nnazotumia...is there a soln?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom