ni vipi ntaupgrade firmware(gingerbread) to jelly bean

ni vipi ntaupgrade firmware(gingerbread) to jelly bean

mkuu chief-mkwawa merry x~mass kwanza.....
haka kakidude kangu pia hii built in radio naona region yake ni USA na EUROPE sipati channel za kibongo...zaidi ya app za kustream online nnazotumia...is there a soln?

hebu nenda setting then about angalia hio s2 ni I9100 au I777

kama ni I9100 basi ujue inawezekana

kama ni I777 haiwezekani hadi uwe na headphone zake special zenye redio
 
Last edited by a moderator:
I9100 kaka.... na nna earphone original
 
I9100 kaka.... na nna earphone original

hapa ina maana hardware ya fm radio unayo ila huna tu software. jaribu mwenyewe kusearch playstore fm radio za offline ukikosa ntakuekea direct link
 
hapa ina maana hardware ya fm radio unayo ila huna tu software. jaribu mwenyewe kusearch playstore fm radio za offline ukikosa ntakuekea direct link

napata za kustream online aisee
 
Back
Top Bottom