wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,342
Ukitumia VLC.... nenda Google search subtitles za movies husika download na zihifadhi. Then rudi kwenye VLC play movie kuna option ya ku add subtitle chagua subtitle husika kutoka kwenye file uliohifahi and add.
Daaa sijui ni kichwa yangu ngumu au nn bt hizi njia zote nimechemsha wakuu bt nawashukuru sana.Subtitles - download movie and TV Series subtitles
Movie and TV Subtitles in multiple languages, thousands of translated subtitles uploaded daily. Free download from source, API support, millions of users.www.opensubtitles.org
Unaandika jina la movie na unadownload hiyo subtilte unaADD kwenye player unayotumia...
Mkuu nimejaribu sana tangu jana hamna kitu, mx ilikubali kudowload bt subtitles zake hazioani kabisa na movie.Kama unatumia mx au vlc kuna option hapo unafungua na kudownload subtitle moja kwa moja
Nashukuru mkuu hii nimejaribu bt subtitles haziendani na movie labda nisaidie mkuu kuwa speed ya subtitle inatakiwa iwe ngapi coz nimefowad na kurewinder mara kadhaa ili iendane na yanayoongeleka bila mafanikio.Mkuu kwa kutumia MX player unaweza kudownload online. Kwanza, play muvi yako kupitia MX player halafu upande wa kulia wa screen kuna vidoti vitatu, ukibonyeza hapo utakutana na neno subtitle kwenye list, then unawez download online wakati muvi inaendelea kucheza.
Mkuu, niliwahi kutana na tatizo kama hilo kwenye episode moja na njia niliyotumia ni kubadili tu hiyo speed ya subtitle, niliongeza speed na ikawa inaenda sawa ila episode zingine zilienda vizuri tu. Na speed inategemea na episode imepishana kiasi gani na hiyo subtitleNashukuru mkuu hii nimejaribu bt subtitles haziendani na movie labda nisaidie mkuu kuwa speed ya subtitle inatakiwa iwe ngapi coz nimefowad na kurewinder mara kadhaa ili iendane na yanayoongeleka bila mafanikio.
Ok mkuu, Shukran ngoja niendelee kupambana nayoMkuu, niliwahi kutana na tatizo kama hilo kwenye episode moja na njia niliyotumia ni kubadili tu hiyo speed ya subtitle, niliongeza speed na ikawa inaenda sawa ila episode zingine zilienda vizuri tu. Na speed inategemea na episode imepishana kiasi gani na hiyo subtitle
Sijawahi kutana na hii shida toka kwa MX player sema kuna ku delay kwa subtitle inabidi eidha uongeze au upunguze speedMkuu nimejaribu sana tangu jana hamna kitu, mx ilikubali kudowload bt subtitles zake hazioani kabisa na movie.
Nashukuru mkuu,Sijawahi kutana na hii shida toka kwa MX player sema kuna ku delay kwa subtitle inabidi eidha uongeze au upunguze speed
Mkuu nimejaribu bt kwenye kusach subtitles on line inaniletea hvi. Hyo ni homeland series.Mkuu chukua BS player,, ukiplay movie and then ukiwa online automatically itakuletea option ya subtittle
Shukran mkuuTumia hiyohiyo vlc. Swala kuoana hakikisha unayodownlod iendeni na wuality ya movie. Mfano kama ni 720p pia subtitle mbele iwe na neno 720p
Vlc ikisumbua search Google utazipata kwenye site ya opensubtitle.com
Hyo ni homeland from telegram.Mkuu nimejaribu bt kwenye kusach subtitles on line inaniletea hvi. Hyo ni homeland series. View attachment 1652076
Poa mkuunenda kwenye vlc pale juu utaona tools bonyeza af shuka chini kabsa utaona vlsub bonyeza hapo af search by name ikija download subtittle itajiadd yenyewe forever