Ni vigumu sana kuwatofautisha Zitto na Halima Mdee

Mimi nachukia matendo ya CHADEMA na siyo mwanachama wala msukule wa chama chochote kile.
Unachukia matendo ya Chadema yanayotendwa na mwanaCCM?

Hahaa sili nyama ya nguruwe ila mchuzi wake nakunywa. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 

Ubinafsi ndio tatizo kubwa linalowasumbua CHADEMA. Kutoka kwa viongozi wao mpaka wafuasi wao
 
Mimi nangoja nione 2025 CHADEMA wakisusia uchaguzi ila kama hawajasusa wote ni wale wale tu
 
Hata hao unaowaamini kuna siku watakupa somo, na hapo ndo utaijua maana halisi ya SIASA.
 
CHADEMA inadai serikali itengeneze mifumo sio watu, lakini wao wanapambana na watu sio mifumo. Too much siasa.
 
Ila Chadema hadi saa hii game liko upande wao waendelee kuzichanga karata vema. Simama na shikilia hapo hapo unapoamini na endapo watu wanakuelewa komaaa tu. Hii Kitu mdio Mbowe anaitekeleza vema yaaani. No matter whaaaaaat!

Katiba Mpya & Tume Huru.

Yaani nyingine poroje tuuuuu, tupa kuleeeee ๐Ÿ‘‰
 
Hakuna tafauti yoyote ile kati ya hao wawili,kuna wakati wakati wa Magufuli alipomuondoa waziri wa Madini Zitto alikuwa anajipendekeza sana kwa mwendazake alitegemea atapewa yeye, sasa hivi mama kasema katika uteuzi wake hatoangalia chama au lolote lile kwahiyo bwamdogo ameanza kujipendekeza.
 
Hawa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ