Ni video zipi za muziki zinawafaa watoto?

Ni video zipi za muziki zinawafaa watoto?

Joined
Jan 28, 2022
Posts
42
Reaction score
44
Habari?

Nijuzeni miziki ya video inayofaa kuingalia na watoto/vijana wetu under 15. .mf ya Achi wa Diamond na Koffie.

Nataka kuandaa playlist/folder la kwao tu, si mnazijua vedeo zetu zllivyo na BALAA.
 
Ingia YouTube utazame moja baada ya NYINGINE

Kama wewe ni christian tafuta nyimbo za worship and praise tu.
 
Music vedeo nyingi zina mambo hayafai kuyaonyesha/kuyatazama na vijana(under 15)/ watoto wako. NAOMBA list ya zilizo na NAFUU au kwa ANGALAU.
 
Kama ni kobazi?
Kama wewe ni kobazi basi search hivi😁😁😁
16601CAC-32B6-43CF-B9C9-B58375856A5C.jpeg
 
Back
Top Bottom