Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

ahsante mungu............
DEMBA Namshukuru Mungu kwa zawadi hii aliyonipa
miss strong asante kwa ujumbe, namshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na familia,

Zaidi najua kuwa nayaweza haya yote katika yeye anitiaye nguvu. Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini..so ngoja tumpigie Mungu vigele gele

CC Asprin mwallu
 
demb Nmahukuru Mungu kwa zawadi hii aliyonipa

Sawa sawa mkuu.....
 
Last edited by a moderator:
Father, l thank thee for the night,
And for the present morning light.

Help me to do the things l should,
To be to others kind and good.

In all l do and in all l say,
To grow more loving everyday.

Amen.
 
demb Nmahukuru Mungu kwa zawadi hii aliyonipa
miss strong asante kwa ujumbe, namshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na familia,

Zaidi najua kuwa nayaweza haya yote katika yeye anitiaye nguvu. Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini..so ngoja tumpigie Mungu vigele gele

CC Asprin mwallu

Nimeipenda hii, thanking The Almighty kwa zawadi ya Maisha na Familia. Uzidi kubarikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ningekujibu hila mood yangu hairuhusu.....na ukiendelea utanilazimisha nikujibu.
Wewe mshukuru Mungu kwa aliyokutendea na uache kumnyooshea kidole mtu.
...jibu tu ili uwe huru....itasaidia pia....
 
Habari zenu ............

Nimefikiria mapito wanadamu tunayopitia katika maisha ya kila siku........matendo ambayo tunayatenda yakumpendeza Mungu na yasio mpendeza yeye lakin kwa neema zake bado tunaishi.

Je umewahi kufikiria unamrudishia nini Bwana (Mungu) kwa ukarimu wake?Mungu ni mwema sana ...uwanyeshea mvua wote watenda mema na maovu.

Nimependa kushare na nyinyi jambo hili hata kama nitaondoka chini ya jua leo,ni vyema kutenga muda wakumshukuru Mungu.
Mwenye link ya wimbo wa ambassadors of christ Rwanda pliz tupia niburudike!!!!!

Karibuni tumshukuru Mungu kwa ukuu wake Heaven on Earth, Smile, Himidini, DEMBA, Kaizer, GreenCity, IGWE, Mamndenyi, tinna cute, charminglady, mimi49, Munkari, Ennie, ladydoctor, atug, mwallu neggirl, Baba V, The Boss na wengineo wote jamani.

Ni mimi miss strong wa JF

Ubarikiwe sana dada!
 
Inatupasa kumshukuru Mungu kila wakati, kwani
asingekuwa yy tusingkuwepo,
asingekuwa yy tungekuwa wapi?
asingekuwa yy tungeitwa akina nani leo (Marehemu au jina lako)
asingekuwa yy tungesema nini muda huu
 
...nimeichafua kivipi...? au hujanielewa nlichoandika...

Endelea na yako bana.......kwani ww hujaelewa nn alichokiandika DEMBA???
Hata hivyo huu ni uzi wa amani.....na uwe na amani
 
Last edited by a moderator:
asante sana miss strong..
hakika kila pumzi tunayovuta ni kwa neema tu
apa namshukuru Mungu kwa kusoma thread hii pia
 
Last edited by a moderator:
asante sana miss strong..
hakika kila pumzi tunayovuta ni kwa neema tu
apa namshukuru Mungu kwa kusoma thread hii pia
 
Last edited by a moderator:
asante Kaizer
mimi ni mengi sana ya kumshukuru Mungu...kwa magumu nilopitia,ambayo kwa akili yangu sikutegemea kua ingetokea siku nikawa na furaha niliyo nayo leo...hakika,namshukuru Mungu kwa kila kitu na kwa kila mtu alie karibu na mimi...nakosa maneno zaidi ya kusema..ila..JESUS is the lover of my soul..i thank GOD..
DEMBA Namshukuru Mungu kwa zawadi hii aliyonipa
miss strong asante kwa ujumbe, namshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na familia,

Zaidi najua kuwa nayaweza haya yote katika yeye anitiaye nguvu. Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini..so ngoja tumpigie Mungu vigele gele

CC Asprin mwallu
 
Last edited by a moderator:
asante Kaizer
mimi ni mengi sana ya kumshukuru Mungu...kwa magumu nilopitia,ambayo kwa akili yangu sikutegemea kua ingetokea siku nikawa na furaha niliyo nayo leo...hakika,namshukuru Mungu kwa kila kitu na kwa kila mtu alie karibu na mimi...nakosa maneno zaidi ya kusema..ila..JESUS is the lover of my soul..i thank GOD..
mwallu ndo maana nimekuita nilijua utakuwa na maneno ya busara kama kawaida.....Thanks Mungu apewe Sifa.
miss strong is geeting stronger, mwallu is even happier, and I am who I am because of who you are
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom