Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

Habari zenu ............

Nimefikiria mapito wanadamu tunayopitia katika maisha ya kila siku........matendo ambayo tunayatenda yakumpendeza Mungu na yasio mpendeza yeye lakin kwa neema zake bado tunaishi.

Je umewahi kufikiria unamrudishia nini Bwana (Mungu) kwa ukarimu wake?Mungu ni mwema sana ...uwanyeshea mvua wote watenda mema na maovu.

Nimependa kushare na nyinyi jambo hili hata kama nitaondoka chini ya jua leo,ni vyema kutenga muda wakumshukuru Mungu.
Mwenye link ya wimbo wa ambassadors of christ Rwanda pliz tupia niburudike!!!!!

Karibuni tumshukuru Mungu kwa ukuu wake Heaven on Earth, Smile, Himidini, DEMBA, Kaizer, GreenCity, IGWE, Mamndenyi, tinna cute, charminglady, mimi49, Munkari, Ennie, ladydoctor, atug, mwallu neggirl, Baba V, The Boss na wengineo wote jamani.

Updates
Lecturer kafukuzwa kwahiyo mapambano yameanza.

Ni mimi miss strong wa JF

^^
Maisha ni kama mti wa mpapai na matete,, upepo wa kudhuru ujapo matete huinama ili kutetea haki yake ya kuishi na mpapai husimama kwa jeuri mwisho hukatika na kupoteza uwepo wake.
Hongera kwa kujitetea,,
Congts more for being Strong
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Maisha ni kama mti wa mpapai na matete,, upepo wa kudhuru ujapo matete huinama ili kutetea haki yake ya kuishi na mpapai husimama kwa jeuri mwisho hukatika na kupoteza uwepo wake.
Hongera kwa kujitetea,,
Congts more for being Strong
^^

Ni Mungu mwenyewe...........si kwa akil yangu na uweza wangu bali kwa neema yake
 
Kweli MUNGU peke yake ni wa kushukuriwa! Yaani najikuta nimemkosea lakini bado ananibariki! Waliosema Mungu sio Athumani hawakukosea!!!
 
Pamoja na kuwa mdhaifu mwili na roho....lakini bado ananibariki......asante Mungu mana ni kwa neema na rehema zako......
 
Asante kwa kutukumbusha mpendwa,,;;,,,

"Kwa sababu ya furaha unipazo, Neema unishushiazo shukrani yangu daima itakuwa kusema Mungu wangu ninakupenda sana".
 
Mnafki wewe......nikicheki story zako za mangi na zingine......wabongo tubadilike tuache unafki
 
Mnafki wewe......nikicheki story zako za mangi na zingine......wabongo tubadilike tuache unafki

Ningekujibu hila mood yangu hairuhusu.....na ukiendelea utanilazimisha nikujibu.
Wewe mshukuru Mungu kwa aliyokutendea na uache kumnyooshea kidole mtu.
 
Ni kweli miss strong...Namshukuru mungu kwa uzima na afya njema alonijaalia...Na mengineyo mengi nikianza kuyataja listi itakuwa ndefu mno.. wakati mwengine nikikaa na kufikiri najiona si mtu mwenye fadhila kwasababu simshukuru Allah(S.W) vyakutosha..Lakini nimefurahi kupata wito wako na kunikumbusha wajibu wangu kama mwanaadamu..Alhamudlillah rabil alamin!
 
Last edited by a moderator:
Umenena ndugu na ubarikiwe kwa kutukumbusha. Mara nyingi unakuta tunaomba tu lakini hatukumbuki kushukuru.
 
Back
Top Bottom