Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Lissu alimkashifu magufuli kutokana na matendo na kauli zake- udikteta, ubaguzi, wizi wa kura, kuvuruga chaguzi, kununua wanasiasa wa upinzani, kuteka/kupoteza/kuuwa watu etc.
Lissu anasema anaenda kumshtaki huyu 'mwanamke' & co. kwa magufuli kwamba wameuza bandari zetu. Lissu hajasema kwamba sasa anamkubali magufuli, ila anataka kuwaambieni kwamba pamoja na ubaya wa magufuli, hii dhambi ya kuiuza nchi hangeitenda.
Au ulidhani anaenda kumfufua aongee naye?
Halafu hujitambui tu, wewe ndio mjinga wa hali ya juu, kichaa, mwendawazimu juha kabisa, mtu wa kujikomba. Huna, na hutoweza kuwa na hadhi ya Lissu.
Hivi hiyo numba unaweka hapo kila siku wanaume bado hawajakupigia tu?
 
Naona ni kama umepaniki,Embu tuliza kichwa chako na uandike kwa hekima na busara kuliko kuropoka tu kama ndugu yako lissu
 
Hoja gani ngumu kuweza kushindwa kujibu kutoka kwa muongo Lissu
Za mkataba wa DP World..

Hivi aliousaini Rais Samia Suluhu Hassan ni mkataba au makubaliano?

Ukomo wake ni miaka mingapi eti?

Na hawa jamaa watakuja kuwekeza kiasi gani eti?

Ni ibara ya ngapi ya mkataba huo inaeleza hayo☝️?

NB: Anza hayo kwanza kujibu halafu nitaongeza mengine 🚶🚶🚶🚶
 
Embu nijibu kama kichwa chako kina kumbukumbu vizuri,je unakumbuka maneno ya Lissu juu ya lowasa kabla ya 2015? Unakumbuka maneno ya Lissu kwa hayati Dr magufuli wakati wote wa utawala wake? Je akisemacho Lissu leo hii ndicho alichokitamka wakati wa uhai wake hayati Dr magufuli? Au umeanza kufuatilia siasa za nchi hii leo? Au ulikuwa bado hajazaliwa wakati huo?
Kiapo cha katiba na utendaji kazi hakiendi sambamba, kwanini...
 
Nimeandika kumjibu Lucas lakini nikaamua kufuta maana nimekumbuka kuwa hawezi kuelewa maana ni mmoja wa members humu JF wenye uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo makubwa.
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
The most stupid kijana in the World! Vyeo havitafutwi kijinga hivyo. After all who needs your contacts here?
 
Ni Mwendawazimu, Kichaa na Mpumbavu ndiye haelewi anachokiongea Lissu.
 
Anaachaje kuaminika mtu anayeongea ukweli?Wewe huwa hauamini ukweli?Umezoea kudanganywa na CCM kama bwegemtozeni?
 
Nenda jeshini bas ukapiganie km ni kweli unaipigania nchi..ila ninajua hutaenda maana ni mlamba viatu
Nchi nzima na watu wote hatuwezi kujazana katika kambi za jeshi,ila wote tunaweza kupigania na kulilinda Taifa letu kwa njia Tofauti tofauti,vita ni sayansi katika kushinda mapambano na siyo kukimbilia mbele tu kama kimbunga
 
Changamoto yako ni yeye kuongea ukweli?Au unaendeshwa na hisia hasi tu juu yake?Maana uzi wote umelalamika utadhani umeunguzwa na mafuta ya mawese.
Sijawahi kuupinga ukweli wala kumpinga anayeongea ukweli hata kama tumetofautina itikadi ,maana ukweli ni ukweli tu bila kujali imetamkwa na nani ,lakini Lissu ni mtu muongo,mnafiki mkubwa,kigeugeu na mtu wa ndimi mbili.
 
Okay.Sasa acha yale mazoea yako ya kucharaza gazeti.Andika uongo wake kwa mtiririko:-
1-.......……
2-….........
3-.............
4-............
 
Back
Top Bottom