Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

Achana n habari za lissu hana sera mpya.
Zaidi atachochea chochea na kupandikiza chuki kwa watu wajinga wasiomuelewa vizuri. Upinzani sio upingani
Lissu anaumia sana anapoona amani na utulivu vimetamalaki hapa nchini wakati kiu yake ni kutaka kuona machafuko yakitokea ili yeye aende ulaya kupiga domo
 
Potelea mbali, Lisu hana jipya atazeeka na siasa mfu kama Lipumba

Hapotei mtu hapa, wala huna sababu ya kumu attack mtu, yeye anatoa maoni yake jinsi anavyo ona dposari za mkataba, to hoja zenye mashiko, watu watakuelewa tu. Sasa unasema atazeeka, ni kama wewe ndo unawapangia watu maisha yao yaweje kisiasa?
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jina la usajili litatoka Jina gani? Hienda na wewe ukapewa mgao wa BANDARI(DP)
 
Mimi sipo hapa kutafuta uteuzi bali napigania Taifa langu.
Mimi napigania Taifa na siyo Tumbo langu.
Kwani Lissu anapigania taifa la Uganda ama Kenya? Yeye katoa tahadhari kwenye vipengele vya mkataba ambavyo vinattuumiza kama nchi. Nadhani ungejikita kupingana na hoja zake kuliko kumlaumu lawama za jumla jumla. Uzuri Lissu ametoa reference ya mikataba ya Madini ambayo nayo tulipigwa. Kasema tusirudie makosa
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwa kukusaidia tatizo siyo Lissu wewe ulitakiwa kuwa MILEMBE
 
Lissu anaumia sana anapoona amani na utulivu vimetamalaki hapa nchini wakati kiu yake ni kutaka kuona machafuko yakitokea ili yeye aende ulaya kupiga domo
Na tumeshamuelewa. Mana hawez kuwa na Hoja kama Kuna siasa za masikilizano. Yeye atafanikiwa tu endapo kunakuwa na siasa za kuvutana ili aje aseme wenye mamlaka wanamuonea hivyo ahurumiwe
 
Kwa vile amemuongelea vibaya mpenzi wako basi wengine woote unataka tusimuamini kwa yoote atakayoyasema? Wewe endelea kutomuamini bi dada, ingawa huna utamuongezea wala kumpunguzia.
 
Na kw

Kwanini tuyaamini ya kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom