Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

"Kupwa na kujaa kwa maji ya bahari,hakumsubiri mtu"

Huu ni wakati wa mapambano, ni wakati wa mchakamchaka,sio wakati wa kuzubaa na kuacha kujipanga kwa zoezi lililo mbele yetu.

Dr Slaa analijua hilo na kwa namna alivyokijenga chama na hata kufikia hapa, hapaswi kuwa sehemu ya kudhoofisha kile alichokitaabikia.... HUU NI UPUMBAVU.

Hata Musa hakufanikiwa kukanyaga nchi ya ahadi,licha ya kwamba aliwaogoza wana-Israel kwenye safari yao ya kutoka utumwani Misri.

POLENI WATANZANIA
 
We mpuuzi kweli chama hakitegemei mtu hata siku1 hakuna kila mtu akitaka lake nani atasikilizwa nani ataachwa? Umeona clip baraza kuu lote limeridhia na kuna pic zinamuonesha akimpa mkono lowasa slaa fomu hachukui anasubiri aseme kaombwa kumbe moyoni anakutaka ikulu tunataka kiongoz anae kutaka ikulu ili akiharibu tumuwajibishe

Chama hakimtegemei MTU mmoja. Iweje UKAWA wamtegemee Lowasa kuwapeleka Ikulu? mpuuzi kabisa wewe
 
Chadema mmefanya Watu wafie chama Leo mnakuja kuuza chama? Mnamupuuza aliyewajengea chama? Huu ni ujuha uliopitiliza. Lkn Chadema inaenda kujizika bila Dr. Slaa.
Unaota ndoto Chadema iliyojengwa kwa mfumo madhubuti wa DR Slaa ife haiwezekani, Dr ni mmoja wa walioamua kuing,oa CCM, anapumzika na kutafakari na chama lazima kiendelee na kazi zingine
 
Dr Slaa ni mtu muhimu Sana kwa chadema na ukawa lakini inafikia kipindi inabidi mfanye maamuzi ya mambo mengine maana muda sio rafiki na kama ni kubembelezwa kabembelezwa Sana lakini simu hapokei wala kazini haendi sasa kama m/kiti utafanya maamuzi gani mengine na kampeni ndo hizo zinakuja. Mbona akina lipumba wamejitoa muanga na kuacha mgombea mmoja tu? Ujio wa lowasa Una faida na hasara ila faida ni nyingi na ndo MTU pekee atakayeleta upinzani kwa sasa. Siasa sio utakatifu kuna muda lazima ukubaliane na mambo mengine kwa maslahi ya chama au nchi.
 
Sasa kama ameamua Mbowe afanye nini?? acheni kauli za kitoto hizo Nyerere kaipigania nchi hii leo yuko wapi? Slaa sio taasisi CDM itakuwepo hata bila Mbowe....

Nyerere yuko wapi unamaanisha nini......unatamani watu waanze kusema humu? Elewa tusichotaka ni kumdharau, kumpuuza, kumtukana Dr Slaa.....tuishie hapo.....
 
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
Think twice!!
 
Ameombwa, ametumiwa watu, amebembelezwa, bado ataki sasa unataka vikao visiendelee kisa Dr kazira na hana mpango wa kuhudhuria vikao? sasa kama kamati kuu imeridhia alichokua anataka kuna shida gani?
Kamati kuu? Nendeni uwanjani bila Dr. Kama mtadumu kwenye siasa za Tz. Kifo cha Chadema kitakuwa kibaya kuliko cha chama chochote kilichowahi pata umaarufu Tz. Kuna Watu unique Dunia hii.
 
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa

Usogope chief...tupo na Lowassa
 
Chama hakimtegemei MTU mmoja. Iweje UKAWA wamtegemee Lowasa kuwapeleka Ikulu? mpuuzi kabisa wewe
Lowasa kama lowassa hawezi kwenda ikulu bila muunganiko wa ukawa na wananchama wao na wananchi wengine lowassa anasaidia kutoa mbinu za ccm za kupola ushindi tangu enzi za mrema we need to disolve the state party ili nchi kusonga mbele urusi ujerumani malawi kenya zambia waliweza na sisi tutaweza
 
Kamati kuu? Nendeni uwanjani bila Dr. Kama mtadumu kwenye siasa za Tz. Kifo cha Chadema kitakuwa kibaya kuliko cha chama chochote kilichowahi pata umaarufu Tz. Kuna Watu unique Dunia hii.
Maneno mazito haya!! Yajifadhi vizuri ili baada ya mwezi mmoja uyalete tena humu. Najua wanafiki hawa yamewachoma sana
 
Kamati kuu? Nendeni uwanjani bila Dr. Kama mtadumu kwenye siasa za Tz. Kifo cha Chadema kitakuwa kibaya kuliko cha chama chochote kilichowahi pata umaarufu Tz. Kuna Watu unique Dunia hii.
Dr Mwenyewe ametengeneza chama madhubuti waandazi wa kampeni za vitongoji vijiji kata wilaya mkoa taifa ni wale alioowatengeneza yeye ,Dr Slaa alifahamu bila chadema madhubuti tutapwaya kwenye chaguzi zijazo akatengeneza chadema ni msingi,kanda n.k leo hao hao ndio waandaazi wa kampeni za chadema ngazi zote we thank him for his visionary strategical plans ,ndio maana unaona utulivu mkubwa mno katika chama ni kwa sababu ya malezi ya DR Slaa Katibu mkuu asiye na mfano wa chama chochote
 
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
umenena sawa kabisa mkuu. wafanyabiashara kwenye siasa ni wakuogopwa kama ukoma. hapo anawaza cash profit tu.
 
uzuri wa hii propaganda haijapokelewa na wananchi kwa sababu wananchi wanajua Mbowe he is one of the top 50 richest people in the country yeye ni visionary ndio maana kwa kuwa na calibre kama ya Dr Slaa wakaclic na kusukuma chama in only ten years wameleta mapinduzi ya siasa za Tanzania freedom of speech imekuwa ,civil political individual self esteem imekuwa kwa kila mwananchi, Mbowe mzaliwa wa posta ndani ya magunia ya pesa hivyo vibilioni kwake sawa na mboga hanunuliki kama alivyo Dr Slaa, Baraza kuu akiwemo Dr Slaa waliamua kutumia kila fimbo wawezayo kuing,oa CCM, we love you Dr Slaa bila nguvu zako na Mbowe chadema isingekuwa hapa ilipo lakini kuondoa state party ttunahitaji mmoja wao kuungana na sisi kuhakikisha tunawaboa na kuwaangamiza maCCM, Dr Slaa will ever remain in our hearts ever
Avoid using long sentences..... Long sentences can be difficult to read and understand. Sijakuelewa!
 
ivi mbona zzk alipofukuzwa aliitwa msaliti leo kawa mbowe
unajitahidi kumleta huyo mchovu msaliti malaya wa kisiasa mahali pasipo hitajika wenzake wakijenga chama yeye alikuwa akipokea maburungutu toka akina zoka othman wenzake wamepewa kazi za ubalozi yeye kashindwa hata kupewa ukuu wa mkoa tuondolee upuuzi hapa
 
Back
Top Bottom