Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

Chama hakitegemei mtu?? Mbona Mbowe anamkumbatia Lowasa amekuwa km mtumwa
 
Dr tafadhali rudi chamani uendeleze mapambano.

Huyo maasai wa monduli katuharibia, kaja kuleta mauza uza, hivi chadema walikua wanasubiria lowasa akatwe? Je walikua hawana mgombea kweli? Mbowe, uliona 10b. Ikufanye usahau kua uko kwe mapambano? Now kwenye campaign mtabonga nini, cos mkisema "mafisadi" yet ur candidate is there!!! Anyway ushanivuruga walahi staki kuskia chadema teeeeeena, nlikua mwanaharakati mzuri wa. M4C. But now ni M4D,movement for destruction!!! Bring Dr Slaa back we shall consider you merciful!!!! Hapa naongea, kitaaa nachokaaa tuko kama shaxi la watu 80. Tumepanga ukawa mng'ati kura yetu, na tutahamasisha wengine!!! Watch the throne!!!!
Team magufuli hapa!!!!
 
Chama hakitegemei mtu?? Mbona Mbowe anamkumbatia Lowasa amekuwa km mtumwa

Who is lowasa by the side of the road?
Mbowe hiyo laana haitakuacha, ingemkaribisha maasai kama mwanachama ila si presidential candidate!! I don't know man, but hii dhambi itakuandama mpaka mwisho!!! Na pia utaaibika pale huyo masai atakapo shindwa kama shetani!!!
Please bring back Dr Slaa,!!! Kama kweli wewe ni mzalendo!! 10b kitu gani!!! Majani ya mpera tu
 
Ajabu sana....eti hakuna muda wa kusubiri mtu.....huyo mtu asiwe Dr Slaa aisee....otherwise mnajidanganya..... siamini kabisa Mbowe anaweza kumpuuza Dr Slaa kwa kiwango hiki......

Sasa hivi inaonekana "Padre" Slaa ni mtu muhimu sana kwa CHADEMA tofauti na maCCM walivyokuwa wakimponda

Dr Slaa ni muhimu hata sisi tunajua
 
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.Hivi ni Mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr. Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
Hii ndio sababu iliyowafanya Mh Zitto Kabwe na Mh Chiku Abwao kuamia ACT hawa watu wanaona mbali sana ni kweli wamekomaa kisiasa Mh Abwao alitangaza kukihama chama siku tatu kabla lowasa kuamia Chadema huu ndio uzalendo tunaohitaji watanzania MBOWE ndio tatizo na wala sio chadema.. Chunguza utakubaliana na mimi coz nami ni mwana chadema pia anatuangusha sana..hawa walioamia ACT ni watu waliokisaidia sana hiki chama..! Zitto kachangia sana kaskazini na Abwao kusini...inakuwaje Leo hii hawana thamani?? Haya sasa Dk! Who is next.
 
Ukiangalia hizi thread mpya, waanzililishi ni watu wapya. Majina mapya. Wanadhania watanzania wa leo ni wajinga wanaweza wabadili misimamo kirahisi. Niwaambie kitu, mnapoteza muda humu, bora muende vijiwe vya kahawa
 
Ukiangalia hizi thread mpya, waanzililishi ni watu wapya. Majina mapya. Wanadhania watanzania wa leo ni wajinga wanaweza wabadili misimamo kirahisi. Niwaambie kitu, mnapoteza muda humu, bora muende vijiwe vya kahawa

Unaongea kama punguani tu!! Unawezaje kusema "..watanzania wanaweza kubadili misimamo kirahisi.." Wakati huohuo wewe na chama chako mmebadili msimamo ndani ya week moja na kuanza kumtukana Dr. Slaa kisa jizi Lowassa na genge lake
 
Back
Top Bottom