Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa

90897c2e97.jpg

Yaani ni wa kuogopwa kama EBOLA, haswa haswa hawa wamiliki wa CASINO ambao wanatumia watu kama 'CHIPS' za JACKPOT BINGO!
 
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
Dr Slaa baba yetu kipenzi he is a legendary of chadema politics in five years amejenga chama madhubuti mno mno kwa namna hiyo chama kipo salama sana kwa blessings zake mwaze mzee atafakari lakini kama mwenyewe ambavyo amesisitiza siku zote maamuzi ya pamoja ndio imekuwa dira ya chadema sasa kumdharau nyie maamuzi ya baraza kuu ambalo yeye mwenyewe pia alikuwemo kwenye maamuzi sasa sijui munataka chama kifuate njia gani
 
Ajabu sana....eti hakuna muda wa kusubiri mtu.....huyo mtu asiwe Dr Slaa aisee....otherwise mnajidanganya..... siamini kabisa Mbowe anaweza kumpuuza Dr Slaa kwa kiwango hiki......
Pesa kitu ingine dogo. Pesa ilimfanya Yuda amsaliti Yesu. Kwa pesa aliyopewa mbowe-Bilioni 12- hata mimi ningemgeuka Dr. Slaa
 
Sioni sababu ya kumlaumu Kamanda Mbowe hapa. Sasa, kama Slaa kaamua kujifungia ndani mwake ulitaka Mbowe afanye nini? Muda unaenda mbio; Nakubaliana na Mbowe, "Waliojipa pumziko, watatukuta mbele ya safari..."
 
Yaani very simple Dr Slaa apumzike dakika hii baada ya kuvuja jasho miaka yote?......bado tupo vijana watiifu kwa taifa hili aisee....
As much as all we are frustrated about his decision lakini wakati mwingine huwezi lazimisha maamuzi ya mtu yakawa tunavyotaka sisi tuheshimu maamuzi yake hajaridhia ujio wa Lowassa amabao yeye alikuwemo wakati baraza kuu linaamua Dr he is a principled guy ameamini alitengeneza na kuamini katika taratibu za chama maamuzi yamefanywa for good sake CCM lazima ingo,ole na itang,ola DR ametengeneza mfumo wa chadema wa kisiasa ( Chadema political structure) ambao hauwezi kuvunjika kwa yeye kupumzika Mungu mkubwa alimpa maono kujenga chama madhubuti kwa hilo hakuna kitu kitayumba huyo ndio Dr Slaa a philosopher
 
Wakuu nadhani Kuwa Mfanyakazi bora na baada ya kuomba upumzike na ukaruhusiwa sidhani kama ni jambo baya tuwe na subira.
 
Misukule ya Lumumba inachochea kuni ikifikiri kwamba Dr Slaa atawawekea usikivu. mnacheza eeh??
Dr sii robot wala sii mtoto hata asiweze kupambanua nia na makusudi yenu.
.
 
As much as all we are frustrated about his decision lakini wakati mwingine huwezi lazimisha maamuzi ya mtu yakawa tunavyotaka sisi tuheshimu maamuzi yake hajaridhia ujio wa Lowassa amabao yeye alikuwemo wakati baraza kuu linaamua Dr he is a principled guy ameamini alitengeneza na kuamini katika taratibu za chama maamuzi yamefanywa for good sake CCM lazima ingo,ole na itang,ola DR ametengeneza mfumo wa chadema wa kisiasa ( Chadema political structure) ambao hauwezi kuvunjika kwa yeye kupumzika Mungu mkubwa alimpa maono kujenga chama madhubuti kwa hilo hakuna kitu kitayumba huyo ndio Dr Slaa a philosopher

Hamuwezi mdhalau Dr katika dakika hizi baada ya yeye kuvuja jasho. Mungu awalaani na vizazi vyao waliohongwa na kumsaliti Dr. Slaa. Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Pesa kitu ingine dogo. Pesa ilimfanya Yuda amsaliti Yesu. Kwa pesa aliyopewa mbowe-Bilioni 12- hata mimi ningemgeuka Dr. Slaa
uzuri wa hii propaganda haijapokelewa na wananchi kwa sababu wananchi wanajua Mbowe he is one of the top 50 richest people in the country yeye ni visionary ndio maana kwa kuwa na calibre kama ya Dr Slaa wakaclic na kusukuma chama in only ten years wameleta mapinduzi ya siasa za Tanzania freedom of speech imekuwa ,civil political individual self esteem imekuwa kwa kila mwananchi, Mbowe mzaliwa wa posta ndani ya magunia ya pesa hivyo vibilioni kwake sawa na mboga hanunuliki kama alivyo Dr Slaa, Baraza kuu akiwemo Dr Slaa waliamua kutumia kila fimbo wawezayo kuing,oa CCM, we love you Dr Slaa bila nguvu zako na Mbowe chadema isingekuwa hapa ilipo lakini kuondoa state party ttunahitaji mmoja wao kuungana na sisi kuhakikisha tunawaboa na kuwaangamiza maCCM, Dr Slaa will ever remain in our hearts ever
 
We mpuuzi kweli chama hakitegemei mtu hata siku1 hakuna kila mtu akitaka lake nani atasikilizwa nani ataachwa? Umeona clip baraza kuu lote limeridhia na kuna pic zinamuonesha akimpa mkono lowasa slaa fomu hachukui anasubiri aseme kaombwa kumbe moyoni anakutaka ikulu tunataka kiongoz anae kutaka ikulu ili akiharibu tumuwajibishe

Sioni kama kulikuwa na umuhimu wowote wa kumuita mtu mpuuzi, ungeweza kutumia lugha ya staha na ukafikisha ujumbe wako vizuri na labda angeuelewa namkawa na mutual understanding
 
Misukule ya Lumumba inachochea kuni ikifikiri kwamba Dr Slaa atawawekea usikivu. mnacheza eeh??
Dr sii robot wala sii mtoto hata asiweze kupambanua nia na makusudi ya wengine.
.

Mkuu usiwe na mawazo mgando kiasi hicho sio wote Lumumba ambao tumeumizwa na dharau zenu za kijinga. Eti very simple apumzike. Kwenye siasa siku moja inaweza ikaharibu Kazi iliyofanyika kwa miaka 20. Damu za watz hazitawaacha salama. Na Mungu awalaani waliohujumu Chadema.
 
Yaani very simple Dr Slaa apumzike dakika hii baada ya kuvuja jasho miaka yote?......bado tupo vijana watiifu kwa taifa hili aisee....

Sasa kama ameamua Mbowe afanye nini?? acheni kauli za kitoto hizo Nyerere kaipigania nchi hii leo yuko wapi? Slaa sio taasisi CDM itakuwepo hata bila Mbowe....
 
Hamuwezi mdhalau Dr katika dakika hizi baada ya yeye kuvuja jasho. Mungu awalaani na vizazi vyao waliohongwa na kumsaliti Dr. Slaa. Malipo ni hapa hapa Duniani.
Maneno ya Kanga hayo nani amdharau Dr Slaa unaropoka tu kadharauliwa kivipi, KIla mwanachadema na viongozi wote wanajua nguvu ya Dr Slaa raisi wa mioyoni mwa watu lakini katika enzi ya sasa kuelekea uchaguzi twapaswa kuwa wote kushikamana kumkwepa adui CCM na TISS kutekeleza maamuzi ya baraza kuu yeye akiwa Katibu ,Dr Slaa hana mfano katika ujenzi wa chama mutabwabwaja lakini chadema ukizungumzia manake ni Dr Slaa mjenzi
 
Back
Top Bottom