Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,111
2,000
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.

Hivi ni Mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?

Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr. Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?

Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
 
Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,124
2,000
Tulia dwanzi ww,mbowe hatakupa ugali wala pesa sawa!Kwani usipo mwamini anapungukiwa na nn?
 
desertfox

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
299
250
We mpuuzi kweli chama hakitegemei mtu hata siku1 hakuna kila mtu akitaka lake nani atasikilizwa nani ataachwa? Umeona clip baraza kuu lote limeridhia na kuna pic zinamuonesha akimpa mkono lowasa slaa fomu hachukui anasubiri aseme kaombwa kumbe moyoni anakutaka ikulu tunataka kiongoz anae kutaka ikulu ili akiharibu tumuwajibishe
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
15,542
2,000
Ajabu sana....eti hakuna muda wa kusubiri mtu.....huyo mtu asiwe Dr Slaa aisee....otherwise mnajidanganya..... siamini kabisa Mbowe anaweza kumpuuza Dr Slaa kwa kiwango hiki......
 
chidou

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
910
500
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
Uko sawa mkuu. Mm toka habari hizi zianze kuvuma nimekuwa sina amani ya moyo. Leo nimesikia upuuzi huu eti kamati kuu imeamua? Huyu Jamaa ni mpuuzi sijawahi ona. Anamdhalau Dr? Bila Dr Chadema ingekuwa hapa? Siwezi shabikia siasa tena. Labda itokee miujiza Dr arudi. Na kura yangu wameikosa bora nikalala zangu Nyumbani. Kumbe tukiwapokea kwa maandamano wanatuona mazuzu?
 
Mkuu uko sawa kabisa sikujua kama Jamaa anaweza kuuza chama. Mungu awalaani na vizazi vyao vyote kwa tamaa ya pesa. Nilikuwa mwanachama mtiifu lkn Dr asiporudi hata kura sina mpango Wa kupiga.
 
congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
545
250
kura 1 tu kauze ccm ,watu wanadhaminiwa kura 1.6ml to a yako moja zinabaki ngapi ?
 
chidou

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
910
500
Mimi namuamini Dr Slaa juu ya hofu Yake. Labda itokee narudi lkn kwa dharau za Mbowe hata mm nisingerudi. Lowasa kaja kuvuruga na ndio silaha ya ccm iliyokuwa imebaki na wamefanikiwa kumununua Mbowe. Hata Tundu Lisu na mnyika nao wamenunuliwa? Eee Mungu.
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,945
1,500
Wisedom reveals itself at times of controvacies.....No matter what, it's not time of division, it's time to unite. Wazee watumie busara zao sasa....ninaelewa sababu za pande zote mbili...and my conclusion is that it does not matter what a weapon will be used.....ccm must lay in peace .

Uwezi kupingana na unabii....ccm kifo chake lazima kitokane na kutoekewana kwao.....
 
babylata

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
3,319
2,000
Uko sawa mkuu. Mm toka habari hizi zianze kuvuma nimekuwa sina amani ya moyo. Leo nimesikia upuuzi huu eti kamati kuu imeamua? Huyu Jamaa ni mpuuzi sijawahi ona. Anamdhalau Dr? Bila Dr Chadema ingekuwa hapa? Siwezi shabikia siasa tena. Labda itokee miujiza Dr arudi. Na kura yangu wameikosa bora nikalala zangu Nyumbani. Kumbe tukiwapokea kwa maandamano wanatuona mazuzu?
Dr Slaa hawezi hata siku moja akadharauriwa na chama mbowe au baraza kuu yeye ndie amejenga msing imara wa chama kwa principle zake alizoziweka ndivyo chama kitakavyokuwa imara hata mtei mbowe slaa wasipokuwepo maamuzi yakifanywa na vikao halali kinachofuatwa ni utekelezaji Dr mara nyingi amesema vikao ndio mwongozo wa maamuzi ya chadema i hope yupo akiwatakia heri makamanda aliowajenga kisiasa
 
Top Bottom