Tembea uone watu wanafanya dharau kubwa kuliko hio,tembea uone watu walinywesha mbuzi soda zinajazwa kwenye jaba wanapewa mbuziChai ☕
Unaringa sana wewe jamaaMimi napenda sana wali dagaa. Siku moja nikaenda mgahawani, kuagiza wali dagaa yule mhudumu akanijibu dagaa wanauzwa na ugali tu. Nikamwomba anisaidie tu, akanijibu kama huna hela anipe wali maharage. Nakaona nijibu mapigo.
Nikamwambia anipe ugali na dagaa na wali ili nipate dagaa, alipoleta nikamwambia katupe ugali jalalani. Akiwa anajiona fala nikamwambia naomba kulipa bills za wote wanaokula muda huu. Kulikuwa na wateja kama sita hivi. Ikanitoka kama 53k hivi kulinda heshima ya JF
Waganga kutoka Congo ni ghali sanaNyingine ni uchuro hazifai hata kusimulia... Imagine mtu ana import waganga toka nje ya nchi ili wamtengenezee kinga na mvuto na malipo yake analipa kwa dola
Kihasibu hio imekaajeMimi napenda sana wali dagaa. Siku moja nikaenda mgahawani, kuagiza wali dagaa yule mhudumu akanijibu dagaa wanauzwa na ugali tu. Nikamwomba anisaidie tu, akanijibu kama huna hela anipe wali maharage. Nakaona nijibu mapigo.
Nikamwambia anipe ugali na dagaa na wali ili nipate dagaa, alipoleta nikamwambia katupe ugali jalalani. Akiwa anajiona fala nikamwambia naomba kulipa bills za wote wanaokula muda huu. Kulikuwa na wateja kama sita hivi. Ikanitoka kama 53k hivi kulinda heshima ya JF
fixNyingine ni uchuro hazifai hata kusimulia... Imagine mtu ana import waganga toka nje ya nchi ili wamtengenezee kinga na mvuto na malipo yake analipa kwa dola
Ngoja nisubscribe huu uzi.
Siku nikijisikia kunywa chai naingia najichotea.
Wengine ni kutokaWaganga kutoka Congo ni ghali sana
Utajua hujui
hapo nadhani uliumia sana mzee,yaani jamaa anakufahamu kuwa ni jirani yake tena una kiringe konki iweje aagize mganga toka nje?Nyingine ni uchuro hazifai hata kusimulia... Imagine mtu ana import waganga toka nje ya nchi ili wamtengenezee kinga na mvuto na malipo yake analipa kwa dola
Ankal hii chai kabisa 😹😹Nyingine ni uchuro hazifai hata kusimulia... Imagine mtu ana import waganga toka nje ya nchi ili wamtengenezee kinga na mvuto na malipo yake analipa kwa dola