The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Ha ha ha ha salama kabisa was wondering where the hell you have been you know you are the only sister i have sasa if you disappear like that you get me worriedBig up yourself TF......nimekukubali,ukitulia na kuwezeshwa unaweza......salama lakini??
Me and you will always adhere to the same situations so we must get something suitable for us...you know what i meanyou ve' taken them from my mouth brother......thumbs up for ya
Samehe saba mara sabini lol!!!!!La muhimu ni kujua kwamba hajakusudia, sasa hapo ndo pagumu! Anakurera kila baada ya cku moja, ila hajakusudia! Hivi ndo nini hicho? Utajuaje? Unamsaheme then anarudia, kafanya mazoea ila hajakusudia!!!! That's very fun ! When it reaches the point of no return, na yeye unamwadabisha hata kama hajakusudia.
Me and you will always adhere to the same situations so we must get something suitable for us...you know what i mean
Nitashukuru sana maana kile kiwango mlichokuwa mmeniwekea nilipe in USD dah!!!!!Mkwe safi sana nimependezwa na wewe kumbe una hekima nyingi na busara kiasi hii
Omba mungu akuongezee zaidi hekima hizi
Nafikilia kupunguza mahari niliyokuwa nimekwambia
Asante sana TF
VOR I like that statementTrue....,
We always hurt those who loves us most.....
Lakini Tukumbuke not to take advantage of the love, someone feels for us, knowing or thinking that they will always forgive us.
The Following User Says Thank You to hashycool For This Useful Post:sometimes you do things out of the blue...when ya back in your senses thats when you realize how wrong you were...
Ha ha ha ha salama kabisa was wondering where the hell you have been you know you are the only sister i have sasa if you disappear like that you get me worried
I see,it feels great to be loved that much from today.......:laugh::laugh:
Tangu mwaka uanze nilikuwa sijakugongea thanks leo natimiza hiyo hapo chini.
The Following 5 Users Say Thank You to The Finest For This Useful Post:
Umeongea point hata neno la kuongeza sina. Ila color inaumiza macho bana
:clap2::clap2::clap2:I see,it feels great to be loved that much from today.......:laugh::laugh:
you are loved even more.....