Baharini kuna mengi yaMzee wa maji na technolojia iliyojificha
Hivi ni kweli hawa nguva wapo, au ni jamii ya majini
Ukijipa muda wa kutosha kutafuta ukweli utachagua kuamini au kutoamini. ..ni muhimu sana hiliTatizo ni ngumu kujua hiki kitu ni halisi au la!
Kuna hoja ziliwahi kutolewa UFO zote ni fake!. Ila pia nimewahi kukisoma kitabu kimoja cha mwandishiMkuu Pasco ebu angalia hizi video, kwa kuwa wewe ni mtaalamu je ni halisi au zimetengezwa? kwa kuangalia huyo kiumbe aliyepo kwenye mwamba baharini na huyo anayejirusha kutoka majini na kuzama tena.
Unamkataza asiseme nini halafu na na wewe unaandika nini! Utumbo juu ya utumbo.Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.
Ila pia sishangai kwa watu kuendelea kudanganyika kwa mengi, mfano kuna uongo mkubwa kuwa Mungu yuko Mmbinguni ambako ni mawinguni!. Mungu hakai mbinguni, Mungu yupo hapa hapa dunuini, yuko ndani yako na ndani ya kila mtu!. Mbinguni, peponi na motoni kote ni hapa hapa duniani, sio mawinguni, sio peponi na wala sio juu!.
Endelea kuuamini uongo huo as long as roho yako, moyo wako na nafsi yako imeamini huo ndio ukweli weko, then amini unachoamini ili roho yako itulie!.
Asante.
Pasco
Na kiutafiti wanasayansi watafiti wa viumbe vya bahari hadi sasa wanasema wameweza kugundua viumbe vya baharini kwa 10% kwa hiyo 90% bado imejificha kwa hiyo bado kuna viumbe vingi sana havijajulikana hadi sasa.Ukijipa muda wa kutosha kutafuta ukweli utachagua kuamini au kutoamini. ..ni muhimu sana hili
Duuuu umenivunja mbavu mkuuKavukavu au na kondom? Huyo nguva atakuwa ameenda Angaza kweli?
umeaminishwa uwongo mjombaIngia youtube mzee kuna video za nguva(mermaid) nyingi tu achana na zile za filam zipo video za live
Gravel's travelKama zile hadithi kama sikosei za ESSOPO ambaye alisafiri na kufika katika nchi ya vimtu vidogo kama sisismizi.
Lakini pia katika safari zake alifika katika nchi ambapo alikutana na mijitu mikubwa ambayo ilikuwa inamuona kama sisismizi yaani hata Panya wao walikuwa wakubwa kama simba............LOL
watu wasije sema nchi hizo zipo jamani, ni hadithi za kufikirika kama ilivyo hadithi ya Nguva....................