Ni upendo au anaibiwa?

Mapenzi hayashauriwi. Mwache afanye anachotaka, ili likija kumkuta anavoumia pekeake awe anaumia pekeake kweli.. Tusije tukajikuta na wengine tupo kwenye mzigo wa lawama. Washenzi hua wanasema SIKILIZA MOYO WAKO. Na yeye mwambie vivyo hivyo.
 
Hahahhaa aliyeelewa anaisaidie
 
Hii mada imenikumbusha enzi za jf hiyoooo!!!.
Ilikuwa ni full kutumiana mitalmbo na vipochi manyoyaa.
Isee watu walitumiana sana Hela Kuna nyapu. Sasa mtu anaileta kwa 35tshs Bado unajiuliza???!!!!!!!
 
Amwambie aje mwenyewe, au ajilipue tu 35 kitu gani
 
Pole sana mkuu unachat na Malaya.

Hakuna wife material anayejua Kuna Facebook, TikTok, Instagram na hata wasapu!!

Kitendo chakutuma Hadi picha za sex itoshe tu kusema utapigwa tukii hapo hakuna screw itakaza
 
Jamaa gani wakati ni wewe acha kusingizia watu
 
Mabinti wa kanda ya ziwa kutoroka kwa wazazi ni kugusa...
Jamaa asiwe na nauli atakayotuma. Hiyo ni uhakika.

Ila asisahau; kama ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga.
Nikimaanisha, kama ukifurahi kumtorosha, usilie akija kutoroka kwako. Muda huo bba yake akijua yupo kwako.

Uasherati sio kitu chema. Kama kweli unampenda kwanini usifate taratibu? Hakuna mzazi amzuiae bintiye kama amefikisha umri wa kuolewa, laba kama anakuongopea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…