Ni uongo gani mkubwa ushawahi danganya

Haikua makusudi na sikuanzisha mimi ila nilienda nao tu...
Chuoni walidhani mimi ni mtoto wa mtu mkubwa Tanzania... wakawa wananitreat vizuri na kwa heshima... Mtoto wa kike nikabeba tu cheo kisicho changu...
 
tusimulie kidogo...kwa nini walifikia kuamini hivyo?
 
Jinsi nilivyokua najibeba na ninavyoongea...
Sikujiweka kimasikini ata kidogo... Ata kama sina hela ya chakula nilikua natulia zangu room... Siombi mtu. Wakajua huyu atakua mtoto wa kibopa mmoja hivi
Kuna classmate alinitonya...
 
Huu uongo wa milenium
Ukikojoa usipotema mate mama yako anskatika maziwa
Yaani mpaka leo bado nafanya
 
Haikua makusudi na sikuanzisha mimi ila nilienda nao tu...
Chuoni walidhani mimi ni mtoto wa mtu mkubwa Tanzania... wakawa wananitreat vizuri na kwa heshima... Mtoto wa kike nikabeba tu cheo kisicho changu...
Sema tu ukweli mijibaba ilikuwa inakuja kukuchota chuoni na kukutumia
 
Kunitumia? Ivi umeniona wakutumika kirahisi hivyo? Wa mda wote wa chuonilikua na boyfriendmmoja na tulikuja achana mwishoni sababu ya kumnyima papuchi!!!
 
Hahaaaaaaa
Sasa hapo duuh
Sio vzr dada angu..
 
Back
Top Bottom