Hao ndio chadema, hata gari Mbowe alisema kalisusa, kumbe kalisalimisha mlango wa mbele akaingia mlango wa nyuma akalichukuwa. Changa la macho.
co vipindi vyote vya tbc vinapotosha. kile kipindi ni kizuri hata aje nani aseme me siachi kukiangali. kwanza watu walishaacha kuangalia tbc hata kabla ya mwenyekiti kusema. so me naangalia kipindi ninachojua nitapata elimu. co mkumbo hakukosea kwenda kwenye kipindi kile kutoa elimu
Hili nalo neno,vipi mgomo/msuso umeishia wapi?kitila ni mmoja wa watu ndani ya chadema wanaoheshika sana hata na walio nje ya chama,anafaa kugombea urais huyu msomi
Hili nalo neno,vipi mgomo/msuso umeishia wapi?kitila ni mmoja wa watu ndani ya chadema wanaoheshika sana hata na walio nje ya chama,anafaa kugombea urais huyu msomi
Kwan chadema bado wana matumain ya kuchukua dola??
:director::director:
mkuu hivi ni kweli kamanda Mbowe aliruka ukuta kwenye maandamno yale ya arusha? Au ni propaganda zenu magamba?
Rais ajae lazima atoke kaskazini ndio msimamo wa chama chetu hata mwasisi wa chama alishasema hampi mtu chama asiemfahamu.