Ni Umri gani Sahihi wa Kutahiri watoto wadogo?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,821
1,874
Habari wadau Madaktari na Wakunga?
Naomba Kuuliza Ni Umri gani Sahihi wa Kutahiri mtoto wa kiume?
Kumbuka Ile ngozi inaweza Kuleta UTI
Pili Baada ya Kutahiriwa kama Muda sio sahihi mboroo inaweza kuwa Fupiii
 
Wataalamu wasio rasmi wanashauri usimtahiri chini ya miaka miwili, kwa sababu huenda uume ukawa mdogo au kibamia.

Wangu nilimtahiri miaka 2.5
 
Miaka 15+ unamfanyia sherehe (kirombe) anatahiriwa bila ganzi mbele ya umati wa watu alafu hakuna kutikisha kiungo chochote kila mwilini mwako, hadi kope za macho usiminyeminye.

Hapo utahesabiwa kuwa unekuwa kijana rijali
 
Kutahiriwa ni Agano LA Mungu na vizazi vyake ivo asiyetahiriwa hutengwa na jamii take.
Mtu apaswa kutahiriwa akiwa na Siku 8 baada tu ya kuzaliwa.

Mwanzo 17; 9-14
 
Miaka 15+ unamfanyia sherehe (kirombe) anatahiriwa bila ganzi mbele ya umati wa watu alafu hakuna kutikisha kiungo chochote kila mwilini mwako, hadi kope za macho usiminyeminye.

Hapo utahesabiwa kuwa unekuwa kijana rijali
Umekumbusha mbali sana enzi hizo
 
Back
Top Bottom