Ni ukweli upi kinachoendelea Dodoma? Je, kasi inadidimia kila kukicha?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Wakuu, hivi karibuni maandiko yanaandikwa humu JF, kuhusu koporomoka kwa kasi ya biashara na uchumi wa Dodoma.

Huku mtaani nako, wananchi baadhi wanasema tangu hayati ametoka, kasi ya ukuaji uchumi wa Dom unaporomoka.

Wengine wamekuwa wakipotezea hizi claims kuwa mji unadidimia, wakisema mji bado uko imara na huku kukiongezeka kwa mzunguko wa pesa na uchumi wa jiji siku baada siku.

Watalaamu na wenye uzoefu na mji wa DOM, tupatiane facts.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom