Ni ukarabati au ukarafasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ukarabati au ukarafasi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ulimakafu, Jul 9, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Matumizi sahihi ya maneno haya ni yapi?


  Ukarabati au ukarafasi na kujiuzulu au kujihuzuru?
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Ukarabati == kufanyia matengenezo.
  Ukarafasi == ???
  Kujiuzulu == kuachia madaraka kwa hiari, ama kutokana na kuwa na kesi inayoingiliana na nafasi uliyonayo.
  Kujihuzuru ==sidhani kama hili ni neno sahihi.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Shukrani kwa msaada mkuu.
   
Loading...