M Mateka Senior Member Joined May 2, 2011 Posts 131 Reaction score 41 Jul 31, 2012 #1 Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi.
Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi.
M Mateka Senior Member Joined May 2, 2011 Posts 131 Reaction score 41 Jul 31, 2012 Thread starter #2 Ni ujinga kung'oa watu meno na kucha bila ganzi
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Jul 31, 2012 #3 mateka said: ni ujinga kung'oa watu meno na kucha bila ganzi Click to expand... huu ni mkuki kwa dr.ulimboka kwa serikali uchungu
mateka said: ni ujinga kung'oa watu meno na kucha bila ganzi Click to expand... huu ni mkuki kwa dr.ulimboka kwa serikali uchungu
AKON JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 213 Reaction score 45 Jul 31, 2012 #4 kuvaa miwani myeusi wakati unakula wali ili wali uonekane kama pilau....
Zagazaga JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 563 Reaction score 262 Jul 31, 2012 #5 AKON teh teh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 139 Jul 31, 2012 #6 ni ujinga kukojoa kwenye kibao kilichoandikwa "uckojoe hapa".
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 139 Jul 31, 2012 #7 AKON said: kuvaa miwani myeusi wakati unakula wali ili wali uonekane kama pilau.... Click to expand... i like it ma dia.....
AKON said: kuvaa miwani myeusi wakati unakula wali ili wali uonekane kama pilau.... Click to expand... i like it ma dia.....
AKON JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 213 Reaction score 45 Jul 31, 2012 #8 felinda said: ni ujinga kukojoa kwenye kibao kilichoandikwa "uckojoe hapa". Click to expand... haahaa ma dear,, daaah true story nini?? teh teh
felinda said: ni ujinga kukojoa kwenye kibao kilichoandikwa "uckojoe hapa". Click to expand... haahaa ma dear,, daaah true story nini?? teh teh
G Getsemane Member Joined Jul 6, 2012 Posts 26 Reaction score 4 Jul 31, 2012 #9 Ni ujinga kukutana na mzungu ukamsalimia kiingereza(Wengine ni wareno)
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Aug 1, 2012 #10 Getsemane said: Ni ujinga kukutana na mzungu ukamsalimia kiingereza(Wengine ni wareno) Click to expand... hahahaha umetisha mkuu...
Getsemane said: Ni ujinga kukutana na mzungu ukamsalimia kiingereza(Wengine ni wareno) Click to expand... hahahaha umetisha mkuu...
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Aug 1, 2012 #11 kumwita pinda handsome ukoo wao mzima.
W waleoleo Member Joined Jun 18, 2012 Posts 53 Reaction score 17 Aug 1, 2012 #12 kudunguana bila kinga afu ikitokea mimba mnaulizana na kugombana
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Aug 1, 2012 #13 waleoleo said: kudunguana bila kinga afu ikitokea mimba mnaulizana na kugombana Click to expand... ata kuvaa condom ukasema unafanya mapenzi wakati condom ndo inafanya hahahahaaaaaa.......
waleoleo said: kudunguana bila kinga afu ikitokea mimba mnaulizana na kugombana Click to expand... ata kuvaa condom ukasema unafanya mapenzi wakati condom ndo inafanya hahahahaaaaaa.......
olele JF-Expert Member Joined Dec 2, 2010 Posts 1,305 Reaction score 1,574 Aug 1, 2012 #14 Ni ujinga kuvaa miwani yenye lensi ya kukuza unapokula ili chakula ukione kingi
Eversmilin Gal JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 778 Reaction score 270 Aug 1, 2012 #15 felinda said: i like it ma dia..... Click to expand... Tehtehtehetehteh.....
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,947 Aug 1, 2012 #16 Mkuu umeniacha hoiiiiii!
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Aug 1, 2012 #17 Mi sina mbavu jamani.. tehee tehee Na ni ujinga ukisalimiwa mara kadhaa na mtu wa jinsia tofauti kwa uchangamfu, ukafikiri anakutaka kimapenzi. Ni ujinga
Mi sina mbavu jamani.. tehee tehee Na ni ujinga ukisalimiwa mara kadhaa na mtu wa jinsia tofauti kwa uchangamfu, ukafikiri anakutaka kimapenzi. Ni ujinga
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,851 Aug 2, 2012 #18 kujipulizia manukato wakati wa kupiga picha! ni ujinga.
T TEGEMEA JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 369 Reaction score 56 Aug 2, 2012 #20 Niujinga ukienda kula chakula mkhahawani kuiga walavyo wengine.