Ni ujinga na ulofa kuwashindanisha Chama na Pacome

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome.

Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga na marehemu Hamis Gaga ama Gagarino wakati akiwa Simba.

Kwa mtazamo wangu, wanaolinganisha hawa mafundi sio watu wa mpira, huwezi kuniuliza eti Chama na Pacome nani mzuri.

Hawa wachezaji wote ni mafundi, Pacome ni fundi hasa, anajua boli sana, ana nguvu, anajua kufanya juggling, ana confidence, ball control, ball balance, spidi nk.Ana uwezo mkubwa wa kucheza namba zote za mbele, na anaweza kubadilisha mchezo anytime.

Huyu Pacome akisema anaenda Simba wote tutashangilia.

Chama naye ni kama Pacome, fundi wa mpira, anatumia miguu yote, ana ball brain, ball control, ball balance.Anaweza kubadilisha ubao wa matokeo anytime kama ilivyo kwa Pacome.

Hawa mafundi wote wanajua ball na hakuna kocha atawakataa.

Hakuna anayemzidi mwenzake, mim kwangu nawaona wote mafundi, isipokuwa Chama anaonekana tofaut kwa sababu amekuja kitambo bongo na ameshaifanyia maajabu mengi Simba wakati Pacome ndio anajitafuta lkn hawa watu kusema kweli ni habari nyingine kabisa.

Kwangu wote ni 100 kwa 100.
 
Sentensi Muhimu hapo ni 'Pacome bado Anajitafuta'......!

Maandishi mengine mbwembwe tu yamejaza seva bure,unaweza kuamua kuyasoma ama kutoyasoma!
 
Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome.

Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga na marehemu Hamis Gaga ama Gagarino wakati akiwa Simba.

Kwa mtazamo wangu, wanaolinganisha hawa mafundi sio watu wa mpira, huwezi kuniuliza eti Chama na Pacome nani mzuri.

Hawa wachezaji wote ni mafundi, Pacome ni fundi hasa, anajua boli sana, ana nguvu, anajua kufanya juggling, ana confidence, ball control, ball balance, spidi nk.Ana uwezo mkubwa wa kucheza namba zote za mbele, na anaweza kubadilisha mchezo anytime.

Huyu Pacome akisema anaenda Simba wote tutashangilia.

Chama naye ni kama Pacome, fundi wa mpira, anatumia miguu yote, ana ball brain, ball control, ball balance.Anaweza kubadilisha ubao wa matokeo anytime kama ilivyo kwa Pacome.

Hawa mafundi wote wanajua ball na hakuna kocha atawakataa.

Hakuna anayemzidi mwenzake, mim kwangu nawaona wote mafundi, isipokuwa Chama anaonekana tofaut kwa sababu amekuja kitambo bongo na ameshaifanyia maajabu mengi Simba wakati Pacome ndio anajitafuta lkn hawa watu kusema kweli ni habari nyingine kabisa.

Kwangu wote ni 100 kwa 100.
Kwa mara ya Kwanza ndo naona thread ya maana toka kwako.
 
Back
Top Bottom