Ni UDSM tena!!!

Ni UDSM tena!!!

Joined
Feb 21, 2012
Posts
95
Reaction score
6
Wadau,nimesikia mlimani i.e udsm wameachia nafas za ututorio i.e tutorial assistants. Eti zimetangazwa katika gazeti la mwananch la leo,ni kweli jamani? Mwenye hlo tangazo atupie hapa basi mana wengne 2ko vijijini.
 
TRA walishata interview jaditors,receptionists,library assitant na assitant librariana interview ilikuwa 20/12/2012 -ITA. By huyu www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/382142-info-tra.html#post5420810
 
kaka labda gazeti lingine ila sio mwananchi ..nimetoka kukipitia sasahv na hamna matangazo yoyote ya kazi..!!
labda vuta subra watatoa kweny magazet au wametoa kwenye magaezit mengine...
 
vip tra post za mwisho wanaita lini?application nakumbuka ilikua online......any update plzzz
 
Nafasi zilizotangazwa ni za ututorial wa university of Dar es salaam computing center

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom