BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,323
Sasa tufanye tathmini na bila kua na mihemko ya kichama na kiitikadi ebu kila mtu hapa ataje akiba aliyonayo popote pale iwe Bank au nyumbani.
Akiba yote ya pesa uliyonayo, nataka kujua kama huu uchumi unaokua kwenye makaratasi ya Bank ya dunia na IMF ni sawa sawa na ya watanzania mmoja mmoja au? Kama unaona tabu kutaja kiasi ama figure basi tumia maneno "sina", "kidogo", "kiasi", "wastani", "nyingi".
Karibuni kwenye tathmini na wachambuzi wa uchumi iwe mwanachuo, mfanyabiashara, usie na kazi, mfanyakazi, na wanasiasa(najua wapo) karibuni mtoe mliyonayo, je wewe mfanyakazi unafikiria nini kwa sasa unaona hali yako kiuchumi.iko vizuri? Je vipi wewe mwanachuo, unafikiria nini ukimaliza chuo na hali unayoiona sasa hivi? Vipi na wewe mfanyabiashara, je umefunga biashara yako ama unaonaje biashara yako, wewe usie na kazi wala biashara, how is current economic status affecting you. Karibuni.