Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

AH TATIZO LETU TUNASHIBIKIA UJINGA. WEWE UMEPEWA MKOPO ALAFU HUTAKI KULIPA NDIO NINI. WACHA JAMAA WAKATE TUU MAANA HAMNA NAMNA UKIMBEMBELEZA MTZ UTAUMIA WEWE
Limwandiko lenyewe baya itakuwa kichwani nako hewa tupu afadhali ya kifuu
 
Unadhani wangetuambia mkataba ni kurejesha 15% tungeingia? Tungekomaa wenyewe tu ishu ni kwenda kinyume na makubariano. ILA NILIVYOKUSOMA FASTA INAONYESHA ULIMALIZA CHUO MWAKA JUZI NA BADO UNATEMBEA NA BAHASHA
Angeenda chuo angeongea uo utumbo?
 
MIE NAONA WAPO SAHII, PUNISHMENT SHOULD ALWAYS EXCEED BY TEN PERCENT SO AS TO DETER OTHERS FROM REPEATING THE SAME MISTAKE. SO WAJAMAA WAPO INLINE KABISA
Sasa nimeamin umeenda shule kwa icho kithungu.... Ila umesoma tu kufaulu mitiani hujaekimika kabisa jamaa
 
PROFESSIONS SUCH AS BEING A PHYSICISIST, ENGINEER, DOCTOR THOSE MY FRIEND WAHITAJI HIYO KUJIENDELEZA BUT OTHER PROFESSSIONS JUST REQUIRE STREET SMARTS. SASA WEWE TATIZO U THINK THE IS ONLY ONE WAY TO SKIN A CAT.
Pathetic.... andika kiswahili tu
 
MM NAONA 15% NI KIDOGO ANGALAU WANGEKATA 30% NA ZAIDI ILI IWE FUNZO KWA WENGINE.
 
Kweli kwa fikra na upeo wenu huu wa kimaskini , nchi hii itapiga hatua.Kazaneni
Fikiria mara mbili, loans board inalengo zuri kama ukiwa positive side ili iweze kujitegemea na kuweza kuwakopesha wengine nao wanufaike kama wewe ulivonufaika
Kupandisha makato sio kwa lengo baya bali ni kuongeza spidi ya kurejesha mkopo
 
Kinachoongelewa siyo kupewa mkopo, nadhani hamjaelewa hoja aliyoleta mwenzetu, kinachoongelewa hapa ni kwamba makato ni makubwa kiasi kwamba mfanyakazi huyu anashindwa kumudu gharama za maisha, na kama akishindwa kumudu gharama za maisha unategemea atafanya kazi kwa ufanisi? Mfano mwanzoni serikali walikuwa wanakata asilimia 8% ya mshahara wa mtumishi, ghafla tu serikali ikaongeza makato hadi asilimia 15% wakati hakuna nyongeza yeyote katika mshahara kama ilivyo ada kwa mwaka wa fedha. Kama yeye magufuli hakuongeza mshahara kwa watumishi wa umma qnapata wapi ujasiri wa kuongeza makato kwa watumishi wa umma, hakika huu ni uonevu usiovumilika. Binafsi nashangaa vyama vya wafanyakazi vimekaa kimya katika jambo hili
Mzabzab akikuelewa kuna zawad yko apa
 
UNGEENDA WAPI WEWE...WAKATI UNA NJAA MBONA ATA CONTRACT HUSOMI UNA DONDOKA TUU LEO HII ULISHAPATA ELIMU NDOI WAJIDAI KUKOSOA SERIKALI....ACHENI ZENU LIPENI HELA HIZO.
Mkuu, sijui kama unajielewa and in case you do, you're simply a disgrace
 
NDIO WAKATI MARA MBILI KWA SABABU KUNA WABINAFSI HAWAKULIPA SASA TUFANYEJE...TWAKATA TUU ATA KAMA NI MARA MBILI BECOZ POINT HAPA NI KUTAKA HIKI KITU KISIJIRUDIE TENA. TUKISEMA TUENDELEE NA HIYO HIYO 8% YOU WONT FEEL THE PINCH THEREFORE UWEZEKANO WA JAMBO KUJIRUDIA NI KUBWA.
Tumia heruf ndogo mzab labda tutakuelewa
 
Fikiria mara mbili, loans board inalengo zuri kama ukiwa positive side ili iweze kujitegemea na kuweza kuwakopesha wengine nao wanufaike kama wewe ulivonufaika
Kupandisha makato sio kwa lengo baya bali ni kuongeza spidi ya kurejesha mkopo
Mkuu mimi nilijipeleka kwa hiari yangu mwenyewe hata kabla ya awamu hii kuingia maana nilijua ni wajibu wangu kulipa, angalia mruko kutoka 8% mpaka 15% .Tafakari hapo.
 
Mkuu mimi nilijipeleka kwa hiari yangu mwenyewe hata kabla ya awamu hii kuingia maana nilijua ni wajibu wangu kulipa, angalia mruko kutoka 8% mpaka 15% .Tafakari hapo.
Ndo imeamua bodi iwe hivyo lazma ukubaliane na hali halisi kijana, sisi wazee wako ni wavumilivu tumeona mengi
 
Ndo imeamua bodi iwe hivyo lazma ukubaliane na hali halisi kijana, sisi wazee wako ni wavumilivu tumeona mengi
Unafikiri hakuna mtu atakaye"survive" tuta"survive" .Tunachopingana nacho kitu walichokifanya si sahihi maana leo sisi kesho hatujui nani atafanyiwa kama hili.Maana kuna watu walifurahia bomoabomoa ya Mbezi beach kesho yao wanabomolewa wao bonde la Mkwajuni ( mfano japo nje ya mada)
 
Back
Top Bottom