Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

Kama serikali isipoingilia kati nadhani huko mbele kuna fukuto kubwa sana!!

Hata kama ni ubabe huu umezidi

Ni wakati wa kupambana na hawa kupe

Watumishi hawa wataishije na familia zao?

Serikali inapenda pesa kuliko watu wake?
Utapambanaje kwa kuandamana au?
 
...WANAFANYA VIZURI. NYIE WAKATI MNAKOPA MLIKUWA MWAJUA HAMNA KULIPA. WACHA FAMILIA ZILALE NJAA NDIO WAJUE KUWA WAZAZI WAO SIO WAAMINIFU. KWANZA INGEKUWA MIE NINGETIA JELA TUU

Yumkini ubongo wako una utapiamlo mkuu, vinginevyo una wivu wa kijinga!!!!
 
Hizi ndio kesi za kupeleka mahakamani. Ndio ujue mawakili wazalendo hakuna zaidi ya maslahi. Mtakumbuka sana mchungaji.
Mahakama gani icc? Sab hizi za kwetu si nimesikia zinatekeleza maagizo kutoka juu? Hata mbowe akishindwa atasema mahakama imetekeleza maagizo kutoka juu.
 
Sasa mkuu ukikatwa 500,000/= maanake mshahara wako si ni zaidi ya milioni 3? Sasa hapo kuna ubaya gani? Lipeni tu ili mmalizane na wadeni wenu! Ila mlivyokuwa mnatumbua boom mlikuwa na kiherehere sana, mara nyingi mlikuwa mnaturingishia sana utafikri hamtakuja kulipa, sasa mayowe ya nini tena?
 
Kinachoongelewa siyo kupewa mkopo, nadhani hamjaelewa hoja aliyoleta mwenzetu, kinachoongelewa hapa ni kwamba makato ni makubwa kiasi kwamba mfanyakazi huyu anashindwa kumudu gharama za maisha, na kama akishindwa kumudu gharama za maisha unategemea atafanya kazi kwa ufanisi? Mfano mwanzoni serikali walikuwa wanakata asilimia 8% ya mshahara wa mtumishi, ghafla tu serikali ikaongeza makato hadi asilimia 15% wakati hakuna nyongeza yeyote katika mshahara kama ilivyo ada kwa mwaka wa fedha. Kama yeye magufuli hakuongeza mshahara kwa watumishi wa umma qnapata wapi ujasiri wa kuongeza makato kwa watumishi wa umma, hakika huu ni uonevu usiovumilika. Binafsi nashangaa vyama vya wafanyakazi vimekaa kimya katika jambo hili
Vimekaa kimya sab vimeona ni sahihi
 
We sio mzima na kama ni mzima lazima una stress za maisha

Hiyo 15% sio adhabu kama ulivyoandika hapo juu, hayo ni makato yaliyoongezwa na bodi bila kuzingatia mkataba uliosema mnufaika atakatwa 8%, watu wanalalamikia kitendo cha kukatwa 15% badala ya 8% kama ilivyokua katika makubaliano.
Sasa sijajua wewe unashangilia nini au ndo akili za kimaskini ukisikia mwenzio katendewa kinyume unachekelea kwa kudhani akiwa maskini kama wewe itasaidia

Kaza kamba na kama hukusoma tafuta Shule ufute ujinga kwanza.
Hiki kinachozungumzwa hapa sio siasa wala sio ccm wala chadema sijajua unashabikia nini
Lipa wengine wakopeshwe.
 
...WANAFANYA VIZURI. NYIE WAKATI MNAKOPA MLIKUWA MWAJUA HAMNA KULIPA. WACHA FAMILIA ZILALE NJAA NDIO WAJUE KUWA WAZAZI WAO SIO WAAMINIFU. KWANZA INGEKUWA MIE NINGETIA JELA TUU
hahahah bestie unatuchoma hivi kweli?
 
Kama serikali isipoingilia kati nadhani huko mbele kuna fukuto kubwa sana!!

Hata kama ni ubabe huu umezidi

Ni wakati wa kupambana na hawa kupe

Watumishi hawa wataishije na familia zao?

Serikali inapenda pesa kuliko watu wake?
Lengo la serikali ni kuzuia watu wasome hakuna jingine, tangu walipoanza kusema SIFA NA VIGEZO na hii inaonyesha kuwa hakuna mkwanja wa kuendesha Elimu bali ni ujenzi na ununuzi wa na la umemee
 
hiyo 15% ni makato ya HESLB tu. bado kuna makato mengine mengi tu ambayo yanaweza kufika jumla ya 40%-50%.
hata hivyo huyo aliyefikia ktk mshshara mkubwa, hua ana mahitaji makubwa pia ktk maisha. usitake kulinganisha mahitaji huyu mwenye familia ya watoto wengi, anasomesha, anajenga, n.k na ya mtu aliyeanza kazi sasa akiwa hana hata mke. walioweka kuongezeka kwa mshahara waliliona hili la kuongezeka kwa mahitaji kadiri miaka inavyozidi kwenda.

lakini kwanini ufurahie mwezio kufanyiwa ambacho hastahili kufanyiwa?
Hayo makato ni ya mda tu si ya kudumu fahamu kua Kuna wengine nyuma yako ambao nao wanahitaji mkopo wasome kutokana na hayohayo makato,siyo kwamba nafurahia,ningefurahia km ingewezekana iwe bure,unaposema mahitaji yanaongezeka kulingana mshahara unavyongezeka ni sawa,lkn chukua kwanza yale yliyo ya lazima sana
 
hahahah bestie unatuchoma hivi kweli?

HAMNA CHA UBESTY WALA NINI HAPA NI PRINCIPLES TUU...WABONGO TUMEZOEA KUTOKUWA WAAMINIFU SASA KUKOMESHA HII TABIA LAZIMA WE MAKE AN EXAMPLE OUT OF SOMEONE. SO WEWE LIPA HIYO 15% ACHA KULALAMA. ELIMU MMEPEWA HELA MSHINDWE KUTAFUTA SASA SII BORA MSINGEENDA SHULE TUU.
 
We Mpuuzi hakuna mtu asiyetaka kulipa. Kilichopo ni serikali imepandisha kinyemela asilimia ya makato kutoka 8% hadi 15% kinyume na mkataba tuliongia na bodi wa kukatwa 8%. Acha kushoboka. Natamani nikutwange tusi moja ambalo litakufanye ukose hamu ya kula wiki nzima!

WEWE TWANGA TUSI LAKINI KULIPA UTALIPA TUU. KAMA WEWE UNAJIDAI MJUAJI SANA SII TULISHAKUSOMESHA BASI KATAFUTE KAZI NJE YA NCHI KAMA KWELI EWE NI NSHOMILE. MWAPIGA KELELE TUU HAPA KUMBE ATA ELIMU YENYEWE KUITUMIA HAMUWEZI.,

LOVE OR LEAVE TANZANIA. U MAKE THE CHOICE.
 
Back
Top Bottom