Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

Hivi ukipanda daraja na bodi wanakupandia au? Maana benk wanaheshimu mkataba.Hawa bodi ni kodi au maana sijawaelewa kabisa.
 
AH TATIZO LETU TUNASHIBIKIA UJINGA. WEWE UMEPEWA MKOPO ALAFU HUTAKI KULIPA NDIO NINI. WACHA JAMAA WAKATE TUU MAANA HAMNA NAMNA UKIMBEMBELEZA MTZ UTAUMIA WEWE
Unadhani wangetuambia mkataba ni kurejesha 15% tungeingia? Tungekomaa wenyewe tu ishu ni kwenda kinyume na makubariano. ILA NILIVYOKUSOMA FASTA INAONYESHA ULIMALIZA CHUO MWAKA JUZI NA BADO UNATEMBEA NA BAHASHA
 
Kinachoongelewa siyo kupewa mkopo, nadhani hamjaelewa hoja aliyoleta mwenzetu, kinachoongelewa hapa ni kwamba makato ni makubwa kiasi kwamba mfanyakazi huyu anashindwa kumudu gharama za maisha, na kama akishindwa kumudu gharama za maisha unategemea atafanya kazi kwa ufanisi? Mfano mwanzoni serikali walikuwa wanakata asilimia 8% ya mshahara wa mtumishi, ghafla tu serikali ikaongeza makato hadi asilimia 15% wakati hakuna nyongeza yeyote katika mshahara kama ilivyo ada kwa mwaka wa fedha. Kama yeye magufuli hakuongeza mshahara kwa watumishi wa umma qnapata wapi ujasiri wa kuongeza makato kwa watumishi wa umma, hakika huu ni uonevu usiovumilika. Binafsi nashangaa vyama vya wafanyakazi vimekaa kimya katika jambo hili
 
Kwani mlipoambiwa watakata 15% hamkuelewa?? Tulipaswa kuingia katika mgomo tangu siku ya kwanza wanatangaza huu upuuzi.
Hata wakipandisha mshahara unakuwa haina maana,kila ongezeko la mshahara litakatwa asilimia kumi na tano,kama ukiongezwa laki,inakatwa elfu kumi na tano,ni makato yanayopanda kila mshahara unapopanda
 
Unadhani wangetuambia mkataba ni kurejesha 15% tungeingia? Tungekomaa wenyewe tu ishu ni kwenda kinyume na makubariano. ILA NILIVYOKUSOMA FASTA INAONYESHA ULIMALIZA CHUO MWAKA JUZI NA BADO UNATEMBEA NA BAHASHA

UNGEENDA WAPI WEWE...WAKATI UNA NJAA MBONA ATA CONTRACT HUSOMI UNA DONDOKA TUU LEO HII ULISHAPATA ELIMU NDOI WAJIDAI KUKOSOA SERIKALI....ACHENI ZENU LIPENI HELA HIZO.
 
Back
Top Bottom