Ni Uamuzi wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Uamuzi wako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 17, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [h=3]Ni Uamuzi wako[/h]

  [​IMG]
  [FONT= ]Ikitokea mchanga ukaingia kwenye jicho basi jicho litauma na [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] halitatafutiwa ufumbuzi basi jicho linaweza kupoteza uwezo wa kuona na unaweza kuwa kipofu.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Hata hivyo huo mchanga ukiwekwa kwa kombe (oyster/shell-fish) husababisha usumbufu ambao humfanya atoe mngÂ’ao [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] wa lulu (pearly).[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Suala muhimu la kujiuliza ni je, mchanga ni kisababishi cha msingi cha jicho kuuma au kwa kombe kutoa rangi nzuri za kung'aa kama lulu?[/FONT]
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Kama[/FONT][FONT= ] mchanga ni kisababishi basi matokeo yangekuwa sawa kwa jicho na kombe.[/FONT]​
  [FONT= ]Kilichofanyika ni kwamba mchanga umetumika [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] ni wakala (agent) wa kudhihirisha tabia za ndani za jicho na Kombe.[/FONT]​
  [FONT= ]Linapokuja suala la mahusiano hii ina maana unapoona mke wako au mume wako anafanya maisha kuwa magumu, machungu (irritable) unaweza kuamua kuwa [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] mchanga kwenye jicho au mchanga kwenye kombe.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Kama[/FONT][FONT= ] hujaelewa basi nikupe mfano mwingine![/FONT]
  [FONT= ]Unajua nini kitatokea [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] utaweka udongo wa mfinyanzi na ice cream kwenye jua kali la mchana?[/FONT]​
  [FONT= ]Udongo wa mfinyanzi utakuwa mgumu [/FONT][FONT= ]kama[/FONT][FONT= ] jiwe na ice cream itayeyuka na kuwa maji.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Je, hii ina maana gani?[/FONT]
  [FONT= ]Hii ina maana kwamba joto la jua hudhihirisha tabia za ndani za udongo wa mfinyanzi na icecream.[/FONT]​
  [FONT= ]Inawezekana mume wako au mke wako ni mtu irritant muda wote, ni kweli hiyo haipingiki (it is given) maana yake hapo una maamuzi mawili tu[/FONT]​
  [FONT= ]Kwanza ni kuitikia kwa busara (njia ya kimungu) na pili kuitikia kwa ujinga na kipuuzi zaidi ukawa kama mchanga na jicho au jua na udongo wa mfinyanzi nah ii kamwe si njia sahihi.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Kumbuka ni rahisi [/FONT][FONT= ]sana[/FONT][FONT= ] kulaumiana au kumlaumu [/FONT][FONT= ]sana[/FONT][FONT= ] mwenzako kwenye ndoa. Hata hivyo kupitia njia ya lawama utaishia kuwa victim na utakosa dhawabu kwa Mungu.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ]Jambo la msingi la kukumbuka kwamba unapoona Mume wako au mke wako anapandisha joto, anakuwa irritant, mtu wa blaming, critical; lazima ukumbuke kwamba[/FONT]​
  [FONT= ]Kama[/FONT][FONT= ] mtu mzima mwenye uhuru kamili ndani yako na unafahamu wazi kabisa unawajibika kumjibu majibu mawili la kujenga na kubomoa, la kufurahisha na la kuudhi la amani au vita. [/FONT]​
  [FONT= ]Jibu la kumpa Mungu utukufu au kumchukiza nk.[/FONT]​
  [FONT= ]Kumbuka unao uamuzi wa kufanya vizuri au vibaya, kuchukia au kufurahi bila kujali mwenzio wako amefanya vibaya namna gani kwani yeye ni wakala tu wa kusaidia wewe kuonesha true colours ulizonazo.[/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
  [FONT= ][/FONT]​
   
Loading...