Ni TPDC kampuni au TPDC University?

Ni TPDC kampuni au TPDC University?

No sweet comes without sweat! ni dhahili kuwa mwenye GPA kubwa is a good perfomer ndo maana aliweza kupata iyo GPA the viceversa is true kwa mwenye GPA ndogo..! japo kuna wachache wana-GPA kubwa ambazo sio halali, lkn hata ivo mtu wa namna hii mtamtambua tu kupitia his/her performance!! Tusiwe watu wa kutaguliza masiala kwenye vitu vya msingi jamani.Mr. xyz123 huyo jamaa hata utendaji wake ni mbovu uko directly proportional to his academic performance@acheni kuleta ukilaza apa..! mlioko shule msuli ndo habari ya mjini kwa sasa....!!
 
hawana lolote hao eti upper second na first!! ,wao na wake zao wanazo mbona wamejazana hapo TPDC
 
kupata GPA ya 1 au upper second sio guarantee kwamba utakuwa competent at work they are very wrong kwa kweli ni graduates wangapi hapa TZ wanamaliza vyuo wakiwa watupu kichwani na wakiingia kwenye interview wanatoka kapa? huku ukiangalia vyeti amescore high GPA kazi inahitaji how competent you are na sio GPA wengi wana crème na kununua vyeti its high time hato makampuni yabadilike na kuweka limits za miaka sio sawa
 
Hiyo ni kwa ajili ya screening. Unakuta kazi imetangazwa wanahitajika watu wa5 wanaapply 2000
 
kupata GPA ya 1 au upper second sio guarantee kwamba utakuwa competent at work they are very wrong kwa kweli ni graduates wangapi hapa TZ wanamaliza vyuo wakiwa watupu kichwani na wakiingia kwenye interview wanatoka kapa? huku ukiangalia vyeti amescore high GPA kazi inahitaji how competent you are na sio GPA wengi wana crème na kununua vyeti its high time hato makampuni yabadilike na kuweka limits za miaka sio sawa

Kwani wanaajiriwa kwa GPA???!!!
Si kuna interview pia, kama GPA hai reflect reality watatoka tu wory not
 
GPA kubwa ni kipimo cha kuona kuwa jamaa anaweza kuconcetrates ,kumeet target na kuendana na mazingira .GPA kubwa tells a lot.
Kuwa mtu anafundishika,na in this world ambapo kuna changes everyday every day new system and way of doing thing. Tunahitaj sana watu wanaofundishika na wanaoweza kuendana na mabadiliko .na GPA inaonesha hilo.

Mwisho wa siku ntataka umeet target ,sasa kama hata target ya kufaulu vyema ulishiishndwa kuimeet ,ntashindwa kujua. Ingawa sababu za kupata GPA ndogo ni nyingi pia,ila kama bado una nafasi ni bora utarget kupata kubwa.labda itokee bahat mbaya kam aloipata ...........
 
JIPIEIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! I HATE DIS THING. TPDC NI NDOTO KWA WENYE LOWER SASA. Ugunduzi wa gesi umeleta ubaguzi
 
Mliambiwa mkienda chuo kuuza sura hasara ndo hiyo, mnashangaa nini cha ajabu mbona wahadhiri wenu walio wafundisha chuo bila 3.8 and above hawaruhusiwi kufundisha ndo mjue umuhimu wa kusoma sio kushinda club na kumaliza pesa za serikali tu za boom.
 
Kwa namna moja GPA. ni kipimo sahihi cha kushort list applicants wa kazi iliyotangazwa na hasa kwa wale fresh from school, lakini ni ukweli usiopingika kuwa GPA pekee si kigizo sahihi cha kupata watendaji sahihi. Kuwa na GPA kubwa si lazima uwe mzuri kiutendaji kuliko mwenye lower second achilia mbali ukweli kwamba hizo upper second zenyewe nyingine hupatikana katika mazingira ya utata na nyingine hata zimeitwa "GPA za chupi". ikumbukwe kuwa pia hakuna common exams or even common syllabus and exams pass mark rankings kati ya chuo kimoja hadi kingine kwa degree ya aina moja say B.com halafu mwisho wa siku unataka kuwalinganisha watu waliotoka katika mazingira na utaratibu tofauti kwa kigezo kimoja kinachoitwa GPA, hauwezi kupata machaguo sahihi better kuangalia utaratibu tofauti kwa matokeo sahihi .
 
Mliambiwa mkienda chuo kuuza sura hasara ndo hiyo, mnashangaa nini cha ajabu mbona wahadhiri wenu walio wafundisha chuo bila 3.8 and above hawaruhusiwi kufundisha ndo mjue umuhimu wa kusoma sio kushinda club na kumaliza pesa za serikali tu za boom.
tena we ndo wale wenye 2.5
 
Tpdc pia Ina program ya kusomesha msc wafanyakazi wake vyuo bora na vyenye ushindani,ukiwa na gpa ndogo wanapata tabu kukupatia chuo cha kwenda
 
Ajira chache, wasomi ni wengi, kwahiyo lazima waweke masharti ili wachuje watu kidogo, ni sawa sawa na bodi ya mikopo kusema wenye dvsn 1 na 2 ndo wanapewa loan bt haimaanishi wnye dvsn 3 wamefeli. zaman mtu alikua anaajiriwa akiwa form 4 direct kazini, wnye form 6 moja kwa moja u assistant manager. sasa itafika kpnd itakua kigezo sio gpa tena ila wnye masters, kwahyo unaweza ukawa na gpa ya 4.5 lkn ukawa hauna soko.

Ila waajiri wanashindea kufahamu kitu kimoja, kuna watu wana gpa mbovu sn lkn wanajua kazi, hlf ni wachapa kazi, unaweza kuajiri mtu ana gpa kubwa lkn muozo tu kazini anasua sua hana analolijua.

Quality ya employee sio kujua kazi tu bali sababu ni nyingi sn, kuna nidhamu, usafi, jinsi ya kuongea na customers, jinsi ya kuingiliana na watu, uwezo wako wa kufanya maamuzi na hv ndo vitu vya msingi sn kazini, na ndo maana kampuni za wazungu interview zao ni kukupima uwezo wako wa kuliendea jambo ma sio ulifaulu vipi darasani.

Ushauri wangu kwa freshers, hakikisha ukitoka chuo unajua mambo hasa microsoft office excel, word na outlook. kwa fani zote hii kitu ni muhimu sna. na pia jenga fikra zako kwenye kufaulu tu na kusonga mbele, ondoa mawazo ya gpa na mawazo ya kufeli, ukiwa mzuri unachokijua na ulichosome basi hutalala njaa, madili mtaani mengi, huku unatafauta ajira unasonga mdogo mdogo.
 
kaka umeongea pointi kubwa sana. kuna wengine wanadhan kila anayefeli hasomi na kuwakatisha tamaa wale wenye GPA ndogo. ingekuwa elimu ni mafanikio kuna wakina diamond wasingekuwa na mafanikio.
Cha msingi ni kuwa mwanga kwa wale wenye shida na kutowakatisha Tamaa
 
Halafu hao walio na 1st and upper second huwa wanakariri tu...sio watendaji wazuri!

Utafiti gani unasema hayo? Au hapo ndipo akili yako imefikia kiwango chake cha mwisho cha kufikiri?
 
Back
Top Bottom