Ni TPDC kampuni au TPDC University?

Ni TPDC kampuni au TPDC University?

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
Nilikuwa napitia Tangazo la Kazi na deadline ni 14th February, Wanataka 1st & upper 2nd Class.

Sasa nauliza maana yao ni nini?
 
hawa wapuuzi sana wanafikiri upper ndio inafanya kazi
 
lower second utawajua tuuu
Hata hivyo usidhani kuwa wote watakaoponda tangazo hilo ni lower second, wengine hatuko kundi hilo na wala hatuna mpango wa kuomba hizo kazi sipokuwa ni ukweli tu kuwa hilo tangazo ni la kipuuzi. Vinginevyo waonyeshe taratibu za utumishi wao ikiwa zimeeleza hivyo(kama ilivyo higher learning institutions).
 
Jamani tuwe serious kdg, a fresh from school unaenda chuo kutafuta pass au lower second? For ur information ni sehem kubwa sana wanaita watu interview kuanzia mwenye upper 2nd, tutabaki kusema sehem flan wanaajiri watt wa wakubwa tu kumbe sio kweli, tupige shule tuje na GPA nzuri mitaan ajira zipo!
 
Hapoo ndo utajuaaa kiwangoo cha UMUHAMUMAAA WETUUUUUUUUUUU
 
Hata hivyo usidhani kuwa wote watakaoponda tangazo hilo ni lower second, wengine hatuko kundi hilo na wala hatuna mpango wa kuomba hizo kazi sipokuwa ni ukweli tu kuwa hilo tangazo ni la kipuuzi. Vinginevyo waonyeshe taratibu za utumishi wao ikiwa zimeeleza hivyo(kama ilivyo higher learning institutions).

of course nakubaliana na wewe..mwisho wa siku hyo upper second n whatever ina umuhimu kwenye kazi ya kwanza tu ,from there ngoma draw,na mambo mengi in life si lazma upper second..
 
Na bado BOT na TRA, mkienda shule msome na kuelewa ili ukiingia kwenye labour market uwe vizuri kuanzia kwenye cheti hadi utendaji. Ila hizi kampuni unaweza kuta boss au muajiri hajawahi kupata hizo grade halafu anataka watu hao au labda ni kupunguza ushindani
 
Mkurugenz utakuta ana Pass!!!!!!!
 
Someni mliopo vyuoni na ukweli wa wazi kuwa upper second inakuweka pazuri sana linapokuja suala la cheti!!!!! Hata litapokuja suala la post grad ikitokea stiff competition watatumia GPA kupata wanafunzi sasa hili unaonaje kuwa sio jambo la msingi????!!!!

Uwezo ni mpaka upewe nafasi sasa kigezo cha kupewa nafasi ni kipi????!!! Kama hapo ndio hiyo upper second!!!!!!

Huwezi kuwa na ranking halafu linapokuja suala la kuzitumia ndio kuwe na shida????!!!!!
Mbona hamkulalamikia hii ranking system mpaka leo imekuwa applied ndio iwe tabu?????!!!
 
Mr Sam A.K.A Mr fastjet ana gentleman tuu, and stil anawaongoza na kutoa command kwa wote hao. Haaahahaaahaaa..!
 
Wanapunguza wingi wa application letters mkuu!
Ni sawa, lakini ukiangalia baadhi ya kazi hasa za mechanical na electrical engineering walizotangaza, mtu hata wa FTC ya chuo cha ufundi anazifanya.
 
Back
Top Bottom