Ni tofauti gani kati ya usafiri kwa wanafunzi ktk miaka ya 1984 na miaka ya sasa?

judith bendera

New Member
Feb 21, 2019
1
1
Miaka ya nyuma elimu ilikuwa n nzuri na tatizo kama vile utoro mashuleni haukuwa mkubwa kama ilivyo ivi sasa ilihali ya kuwa serikali yetu imejitahidi sana katka kupiga hatua katika swala zima la miundo mbinu ya barabara na pamoja na kuanzia njia tofauti za usafirishaji wa abiria bado zile sheria ambazo zmewekwa kwaajil ya kumlinda kila abiria hazifuatwi je hatuoni kuwa kama tukiimalisha sheria zetu kwaajili ya kumlinda abiria tutatatua tatizo kubwa la utoro mashulen???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hawa watoto wa kisasa.

Yaani namaanisha hawa watoto wa kupanga kwa vidonge na sindano, hata wakiboreshewa usafiri na wakwende shuleni na Bombardier, bado hauto punguza utoro wao kwa shule.

Tatizo watoto wa sasa wameharibiwa na utandawazi, yaani asipo kuja shuleni na kisha mwalimu akimpa adhabu, mtoto kwanza ataenda kuGoogle ili ajue kama hiyo adhabu ni sahihi, ndipo atarejea kuitimiza..
 
Takwimu ziko wapi? Nani kasema utoro umeongezeka? Unaongelea zamani ipi?
 
Judith serikali haijaboresha lolote wala usijidanye. Serikali imeharibu elimu, imeondo matumaini kwa walosoma na kupitia mambo hayo imeharibu maana ya elimu. Mwanafunzi wa chuo kikuu leo hana tofauti na mwanafunzi wa kidato cha nne kimtazamo....watoto hawatoroki na wala si watoro ila elimu ya miaka ya sitini huwezi ukaifundisha leo utegemee mabadiriko.
 
Miaka ya nyuma elimu ilikuwa n nzuri na tatizo kama vile utoro mashuleni haukuwa mkubwa kama ilivyo ivi sasa ilihali ya kuwa serikali yetu imejitahidi sana katka kupiga hatua katika swala zima la miundo mbinu ya barabara na pamoja na kuanzia njia tofauti za usafirishaji wa abiria bado zile sheria ambazo zmewekwa kwaajil ya kumlinda kila abiria hazifuatwi je hatuoni kuwa kama tukiimalisha sheria zetu kwaajili ya kumlinda abiria tutatatua tatizo kubwa la utoro mashulen???

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ninadhani serikali imejitahd kurekebisha baadhi ya mambo ila mengi yamebaki kuwa vilevile licha ya mabadiliko ya kiteknolojia, kimazngira, uchumi na utandawazi, ukizingatia na hiki kizaz cha watoto wa majira/vijiti vya ummy mwalim ndo mambo yanakuwa shagharabagara kila mahali
 
Back
Top Bottom