Ni tatizo gani ktk nokia xpress music

Ni tatizo gani ktk nokia xpress music

Fungakazi

Senior Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
174
Reaction score
128
Simu yangu ukiiwasha inawaka baada ya ile theme ya watu kupeana mikono then inazima ni tatizo gani hili na linatatuliwa vip msaada jamani
 
mkuuu hizo simu ndo zilivyo hapo bhana peleka kwa fundi
Simu yangu ukiiwasha inawaka baada ya ile theme ya watu kupeana mikono then inazima ni tatizo gani hili na linatatuliwa vip msaada jamani
 
Back
Top Bottom