Ni Tanzania pekee ambako hadi Mgombea Udiwani anaitisha press ya kupiga watu mkwara mzito na vitisho juu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,062
Ukifuatilia siasa na habari za nchi. yingi za Africa huku kwetu ni nadara kukuta hata mkuu wa nchi anapiga raia wake mkwara na vitisho chungu nzima, hata Kagame hafanyihi huo ujinga.
Screenshot_20250918_202706_com.facebook.katana.jpeg

Sasa Tanzania hii sio tena Raisi, raia wanapigwa mkwara hadi na Diwani, nimeshangaa yule Mzungu mwitu anawapiga mkwara watu na kama kawa hatuna cha kufanya.

Kuna siku hata Mke wamwemyekiti wa kijiji fulani ataitisha press na atatupiga mkwara mzito sana na hatutakuwa na cha kufanya pia.

Ipo siku ya siku watu tutashikishwa ukuta na hatutakuwa na cha kufanya, ipo day tuombe uzima tu.

Nchi kama Kenya achana na Diwani hata Ruto hawezi wapiga wakenya mkwara now day, Bongo Daily ni mikwara kutoka kwa Police mara mchungaji, mara shehe, mara sijui Raisi wa vyuo vikuu. Yaani raia tunapigwa mkwara pande zote.

Narudia kusema uzezeta huu ipo siku utatucost sio utawacost wao hapana utatucost ingawa usha anza kutocost na utatucost vizazi na vizazi vijavyo.
 
Duuuh kuna mtu kachafua hali ya hewa tayari
 
Kwa Tanzania Mwanasiasa ni Mkubwa na ana sauti kuliko Wasomi na Wataalamu wote unaowajua yaani Madaktari, Wahandisi, Waalimu, n.k
 
Ukifuatilia siasa na habari za nchi. yingi za Africa huku kwetu ni nadara kukuta hata mkuu wa nchi anapiga raia wake mkwara na vitisho chungu nzima, hata Kagame hafanyihi huo ujinga.
View attachment 3475224

Sasa Tanzania hii sio tena Raisi, raia wanapigwa mkwara hadi na Diwani, nimeshangaa yule Mzungu mwitu anawapiga mkwara watu na kama kawa hatuna cha kufanya.

Kuna siku hata Mke wamwemyekiti wa kijiji fulani ataitisha press na atatupiga mkwara mzito sana na hatutakuwa na cha kufanya pia.

Ipo siku ya siku watu tutashikishwa ukuta na hatutakuwa na cha kufanya, ipo day tuombe uzima tu.

Nchi kama Kenya achana na Diwani hata Ruto hawezi wapiga wakenya mkwara now day, Bongo Daily ni mikwara kutoka kwa Police mara mchungaji, mara shehe, mara sijui Raisi wa vyuo vikuu. Yaani raia tunapigwa mkwara pande zote.

Narudia kusema uzezeta huu ipo siku utatucost sio utawacost wao hapana utatucost ingawa usha anza kutocost na utatucost vizazi na vizazi vijavyo.
Ni aina ya Press tulo nayo.

Hao watu wa Press na huyo mropokaji wote wana mtazamo mmoja.

Hiyo Press imembeba Manara na kumfikisha mahali ambapo yeye sasa aitisha haohao Press azungumze ujinga wake.

Wote watumiana, na ujinga wao wadhania kuwa wafanya jambo la maana.
 
Kuna namna wale waliokuwa wanasema ukizaa albino ni laana, wapo sahihi 😎
 
Inashangaza mlivyo na moyo kumsikiliza ZELUZELU,mtu mwenyewe anatia kinyaaa.
 
Ukifuatilia siasa na habari za nchi. yingi za Africa huku kwetu ni nadara kukuta hata mkuu wa nchi anapiga raia wake mkwara na vitisho chungu nzima, hata Kagame hafanyihi huo ujinga.
View attachment 3475224

Sasa Tanzania hii sio tena Raisi, raia wanapigwa mkwara hadi na Diwani, nimeshangaa yule Mzungu mwitu anawapiga mkwara watu na kama kawa hatuna cha kufanya.

Kuna siku hata Mke wamwemyekiti wa kijiji fulani ataitisha press na atatupiga mkwara mzito sana na hatutakuwa na cha kufanya pia.

Ipo siku ya siku watu tutashikishwa ukuta na hatutakuwa na cha kufanya, ipo day tuombe uzima tu.

Nchi kama Kenya achana na Diwani hata Ruto hawezi wapiga wakenya mkwara now day, Bongo Daily ni mikwara kutoka kwa Police mara mchungaji, mara shehe, mara sijui Raisi wa vyuo vikuu. Yaani raia tunapigwa mkwara pande zote.

Narudia kusema uzezeta huu ipo siku utatucost sio utawacost wao hapana utatucost ingawa usha anza kutocost na utatucost vizazi na vizazi vijavyo.
Badala ya kukemea na kushauri yale yanayolalamikiwa, unaongea mambo tofauti
 
pilau ina viungo vyake..... na kwenye uganga kuna viungo vyake sasa nashangaa mnasikiliza kitunguu swaumu cha uganga....... natamani wachache sana wanielewe.
 
Back
Top Bottom