Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 7,244
- 13,306
Hayo makalio makubwa ndo yanayokupaga furaha ya moyo wako mkuu, usiiache mkuu komaa tu nayoKuangalia makalio ya wanawake.
Kwa hakika, hakuna binadamu asifiae uumbaji wa Mungu haswa upande huu wa nyuma kama mimi.
Hata tako liwe dogo namna gani, nitatafuta tu sababu na lenyewe lionekane zuri. Makubwa ndiyo balaa. Utasikia tu moyoni 'Mashallah, ewe Muumba ni fundi kwa hakika'. I must find something positive on the butt!.
Na sitaiacha kamwe.