Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
Labda nikuambie utafiti wangu ulikuwa ni local, nilishalisema hili. Ila japokuwa ni local una nguvu na mashiko. Sitoweza kuuleta hapa. Samahani kwa hilo!
 
Habari zenu wakuu?

Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.

Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.

Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.

Sasa kwanini Katiba inavunjwa?

Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.

Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070

Wewe ni Mmoja ya wagombea ndani ya CCM unaetaka Ugombee na Ni Mwanaume...
Japo Umejitahidi Kuweka Hoja Zako Kisomi kuficha Kitu!
 
hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
Na wewe tenga muda wako ufanye utafiti hata local(ukihitaji), utakachoona utasema. Tunakwenda taratibu yaani!
 
Ni haki yake, maana mwaka 2025 itakuwa ndiyo awamu yake ya kwanza, mwaka 2030-2035 ndiyo atakuwa anamalizia vipindi vyake viwili vya wanawake kumuweka madarakani. Sasa kama hii awamu ilikuwa niyakudra... basi aliyepo madarakani ni rais kudra. Rais anatakiwa kuanza awamu ya sita mwaka 2025, haya mengine ni vionjo vya kijiweni
Jeh! Ni muda mwafaka kutangaza mgombea urais ndani ya ccm?

Je! Ccm tuko tayari kugombea uraisi/kuutafuta uraisi kwa nguvu za wanawake?

Je! Pasipo wanawake ni kweli ccm tumekubali kufeli?

Tunakoelekea hii nchi ni hatari

Leo wengine walikuwa wanatangaza wanawake shupavu yaani ( mwanamke anavuta wanaume, anapitishwa pikipiki kichwani, kupitishwa pikipiki tumboni, kucheza na nyoka n.k)
Bila kusahau kung fuu

Ukiyaangalia haya hapa ndio utajua ccn ina mpango gani na wanaume aseee.
 
hahaaaaa at least sijasema ni mtafiti,umeshindwa ku prove sijui kwa nini tukuamini kwa lolote lile!...
Nimesha-prove mbona? Nimekuambia research yangu ni local, sikuiwekea soft wala hard copies. Proof ni hii, tembelea IG, mitaani, tweeter, fb n.k, zile page zenye wachangiaji wengi zaidi utaona(hapo ni kwa mitandaoni)

Incase ya mitaani, nimeshakuambia kuwa tembea uliza hata mtu mmoja mmoja(kuwa makini usije ukawatisha na hivyo kukupa majibi yasiyo sahihi, vaa kawaida tu yaani). Kingine?
 
heheeeeeeeeeeeNO RESEARCH, NO RIGHT TO SAY YOU ARE RESEARCHER!....na ya Magufuli ilikuwa local?...heheeeeeeeeeeeeee
 
Kwa sababu za ki historia, tuli wadharau sana mpaka kwenye vitabu vya dini, ila kama ana uwezo wa kuongoza basi sawa tu. Sisi wengine tutafanya kazi ngumu
Kwa hiyo amekuja kupindua mpaka vitabu vya dini?

Sawa kama ndio hivyo basi tungeambiana mapema sasa
 
Habari zenu wakuu?

Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.

Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.

Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.

Sasa kwanini Katiba inavunjwa?

Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.

Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070
afu mi naona mbona poa tuu nchi iongozwe na wanawake. kwani kunashida gani?

Kikwete mbona aliinua wanawake na mambo yakawa shwari tuu.

kwanza jinsi tunavowapa wanawake madaraka, ndo jinsi tunavotengeneza kizazi cha wanawake wakakamavu na mafighter na sio wanawake legelege.

Now hata watoto wa kike watakao zaliwa watakuwa wapambanaji, na dhana ya kutegemea wanaume itafutika kabisa kichwani mwao.

Mambo ya baba aache pesa ya mboga, mara sukari mara nini hayo yanakujakufutika. Na haki sawa ndipo itakapoanzia kujitengeneza yenyewe bila kufosiwa, kwasababu ya upambanaji wa wanawake.

Hata wale wanawake wavivu wanaodanga kwa kutegemea wanaume watapungua au kuisha kabisa, sababu ya kutoa mfano kwa wanawake wenzao wapambanaji.
 
heheeeeeeeeeeeNO RESEARCH, NO RIGHT TO SAY YOU ARE RESEARCHER!....na ya Magufuli ilikuwa local?...heheeeeeeeeeeeeee
Ya Magufuli pia ni local ndio! Pia unaweza kuhakikisha kwa kufanya tu research local pia, nimeshakuambia hapo juu. Nina haki ya kuongea, kwani research yangu local hii inashabihiana na hali halisi ya wananchi mtaani na mitandaoni, come on
 
2030 sio mbali na tuko 2021 hahaaaaa mkuu una utani, sidhani kama waliompigia na kumpa nguvu ndani ya chama chake watamgeuka,na kama kuna mpasuko she still got time to amend things,ubaya anajiamini..hicho ndio kinachowafanya muweweseke, tumekaa na marais wanaume wanakaa term mbili tongea uhuru, leo mwanamke akitaka kukaa urais kipindi kingine imekua tabu??!!
Ameshawaita wenzie vigazeti

Na mmeanza vichokochoko
 
afu mi naona mbona poa tuu nchi iongozwe na wanawake. kwani kunashida gani?

Kikwete mbona aliinua wanawake na mambo yakawa shwari tuu.

kwanza jinsi tunavowapa wanawake madaraka, ndo jinsi tunavotengeneza kizazi cha wanawake wakakamavu na mafighter na sio wanawake legelege.

Now hata watoto wa kike watakao zaliwa watakuwa wapambanaji, na dhana ya kutegemea wanaume itafutika kabisa kichwani mwao.

Mambo ya baba aache pesa ya mboga, mara sukari mara nini hayo yanakujakufutika. Na haki sawa ndipo itakapoanzia kujitengeneza yenyewe bila kufosiwa, kwasababu ya upambanaji wa wanawake.

Hata wale wanawake wavivu wanaodanga kwa kutegemea wanaume watapungua au kuisha kabisa, sababu ya kutoa mfano kwa wanawake wenzao wapambanaji.
Unapenda uwe na haki sawa na mwanamke?
 
Ukumbuke tuu Hawa alimsaidia Adam kuchuma tunda tuu, je kilichotokea unakijua

Sasa hapa tunposaidiwa mamlaka jumla matokeo yake ndio hayooooo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom