Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

Na sisi wanaume tushirikiane tumuweke rais mwanaume maana zamu yetu ilikuwa bado
FB_IMG_16307814632442277.jpg


Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
hao wanawake wanaomchukia Samiah ni yale yanayodanga, yalozoea kuhongwa na wanaume, sasa yanasikitika yanajua Samiah mwanamke mwenzao hawezi kuwahonga.

Sasa wakubali kukobolewa tuu, au wawe wapambanaji kama Samiah.
 
Ukumbuke tuu Hawa alimsaidia Adam kuchuma tunda tuu, je kilichotokea unakijua

Sasa hapa tunposaidiwa mamlaka jumla matokeo yake ndio hayooooo
hawa yule sio msomi, wanawake wa sasa wameelimika bible wanaijua vzr, quran wanaijua vzr washajifunza.
 
Haki sawa ni lazma kwa kila mwanaadam, maana wote ni binaadam.
Kwa hiyo na wewe nategemea unitumie pic umevaa kitop na skin jeans, pia ukiwa na mkeo sio mbaya ukimsaidia kuzaa(technologically), nitumie pic ili niamini kwani wanawake mbona wanavaa suruali.
 
Whatever means alizotumia kufika hapo anajua atatumia nini kuwa Rais, Kama ni kura mwacheni agombee wananchi ndio wataamua, nyie shida yenu nini????..mtu apimwe kwa perfomance yake sio kisa mwanamke au mwanaume..kwa kifupi hamna hoja!
Uwezo mdogo Sana hawezi kusimamia Rasilimali za Nchi.Hana maamuzi ya haraka,hajiamini
 
Kwa hiyo na wewe nategemea unitumie pic umevaa kitop na skin jeans, pia ukiwa na mkeo sio mbaya ukimsaidia kuzaa(technologically), nitumie pic ili niamini kwani wanawake mbona wanavaa suruali.
hio mbona kawaida wee huoni mashoga wanavojinadi huko mitandaoni na mitaani? na yanaelekea kukaribiana na idadi ya wanawake.

TZ na Africa sasa inaenda kuwa kama nchi za ulaya kwa kila jambo na ndo tunapoelekea.
 
Huyo Mama nadhani haijui vizuri CCM... CCM siyo ya kuitishia uhai wake akae mkao chonjo
 
Kwa muono wako, vitabu vitakatifu vinakandamiza wanawake?
kijana dunia imebadilika. Dunia ya sasa sio ya zamani na ajenda yao ni moja.

Wee huoni nchi za magharibi huko ulaya na Amerca lifestyle yao? viongozi wa juu kabisa ni wa kike na maisha yanaendelea

Na TZ na Africa ndipo tunapoelekea huko sasahivi. Karibia kila kitu tunaenda kufanana nao.
 
Haya mambo yalikuwa yanasemwa na vio gozi waandamizi wa Chama siku saba baada ya Samia kuapishwa kuwa rais. Walikuwa wanasema CCM sasa imekuwa ni UWT. Ha ha ha.
By the way,yupo kiongozi CCM anaitwa Mangula. Simsikii siku hizi
 
Back
Top Bottom