Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

Sina chuki na yeyote, kwa hiyo mtu ukikosoa ni chuki? Nimeshasema kuwa asilete ujinsia, ni sumu. Yeye anataka agombee kwa kigezo cha jinsia. Kumbe wewe ndio huelewi unacho-comment! Yaani unajikanyaga.

nijikanyage ili iweje, una chuki umeniquote baada ya kumwambia jamaa fulani hapo juu kuwa kasema nonsense, angalia hii topic kwa umakini, ujijue wewe ni nani na michango yako,sijui kwa nini unataka kujificha hahaaaaaaaaaaaaaaa eti eti umesema asilete ujinsia,mara rejected,unatafuta pa kushika hakuna, mkuu tu beti nani atakua rais 2025,LOL
 
Sio lazima nifanye mimi, vipi kama nikiwaweka watu? Unaelewa maana ya utafiti? Kwa hiyo ndio hivyo, akiendela hivi atajijengea maadui hata kwenye chama chake na hatotoboa. Akibadilika atatoboa. Tunawekana sawa tu hakuna mwenye chuki.
Habadiliki, na hakuna alichokifanya kibaya, ni nyie' wachache mnaotaka kumuonyesha si kitu,mshindwe na mlegee..eti maadui, wewe akipata maadui kwani unakonda???
 
nijikanyage ili iweje, una chuki umeniquote baada ya kumwambia jamaa fulani hapo juu kuwa kasema nonsense, angalia hii topic kwa umakini, ujijue wewe ni nani na michango yako,sijui kwa nini unataka kujificha hahaaaaaaaaaaaaaaa eti eti umesema asilete ujinsia,mara rejected,unatafuta pa kushika hakuna, mkuu tu beti nani atakua rais 2025,LOL
Ni kweli mpaka sasa yupo rejected na wengi kwa sababu ya mfumuko wa bei na kuleta ujinsia. Yote ni kweli na si uongo. Kingine?
 
Habadiliki, na hakuna alichokifanya kibaya, ni nyie' wachache mnaotaka kumuonyesha si kitu,mshindwe na mlegee..eti maadui, wewe akipata maadui kwani unakonda???
Mfumuko MKUBWA wa bei? Tozo je? Nafikiri unaelewa reaction ya watu wengi ilivyo kubwa, hata ukikataa ila moyoni utakiri TU.
 
Habadiliki, na hakuna alichokifanya kibaya, ni nyie' wachache mnaotaka kumuonyesha si kitu,mshindwe na mlegee..eti maadui, wewe akipata maadui kwani unakonda???
Sikondi ila ninajua tu, na nikishajua nawaelimisha watu kama wewe ambao hamjui kutofautisha kati ya chuki na mtazamo wa kukosoa. Huo ndio umuhimu wa mimi kujua. Kingine?
 
Habari zenu wakuu?

Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.

Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.

Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.

Sasa kwanini Katiba inavunjwa?

Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.

Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070
Ubaguzi mnaufanya wanaccm wenyewe dhidi ya vyama vingine mko kimya.

Leo hii mnaanza kubaguana nyinyi wenyewe mnaanza kulia lia.

Hata mkianza kuuana humo kwenye lichama lenu poa sisi tutakuja kula kwenye misiba yenu.
 
Sikondi ila ninajua tu, na nikishajua nawaelimisha watu kama wewe ambao hamjui kutofautisha kati ya chuki na mtazamo wa kukosoa. Huo ndio umuhimu wa mimi kujua. Kingine?
tatizo nawaelewa watu kama nyie, kwenu mwanamke akiwa successful ni tishio kwa ego zenu, pole we, as i said she is there until 2030,there's nothing you can do, tuendelee kubwabwaja humu ila hili la kwako kufanya research kijijini lililikua ZITO, wewe utabisha hata jua linatoka wapi for the sake of kubishana tuu
 
Mwendelezo wa kutafuta pa kushika, hihiii , ujinsia na tozo wapi na wapi?..
Ujinsia na tozo vyote vina-matter.
Anakuwa rejected na wasomi na wanaharakati wakubwa kwa sababu ya ujinsia(na hata baadhi ya watu wengine wengi ikiwemo wanaume kwa wanawake Waislam na wasio Waislam).

Pia anakuwa rejected na WATU WENGI WA TZ kwa sababu ya TOZO na mifumuko ya bei, hivyo ndivyo tozo na ujinsia vinapohusiana. Nafikiri umeelewa! Una lingine hujaelewa tafadhali?
 
tatizo nawaelewa watu kama nyie, kwenu mwanamke akiwa successful ni tishio kwa ego zenu, pole we, as i said she is there until 2030,there's nothing you can do, tuendelee kubwabwaja humu ila hili la kwako kufanya research kijijini lililikua ZITO, wewe utabisha hata jua linatoka wapi for the sake of kubishana tuu
Hata... Mimi sipo hivyo, na ndio maana kama una kumbu kumbu vizuri, hata JPM alimteua Jokate. Ni mchapakazi mno, Angela Kairuki na wengineo. Kwa nini apigiwe kelele huyu mama yetu tu? Mbona hao niliotaja hawakupigiwa kelele za kukataliwa kama mama yetu?
 
tatizo nawaelewa watu kama nyie, kwenu mwanamke akiwa successful ni tishio kwa ego zenu, pole we, as i said she is there until 2030,there's nothing you can do, tuendelee kubwabwaja humu ila hili la kwako kufanya research kijijini lililikua ZITO, wewe utabisha hata jua linatoka wapi for the sake of kubishana tuu
Hapa tunakwenda step by step, tunazungumza uhalisia. Kwa kukusaidia, mwanaharakati msomi Malisa GJ alikuwa anamuunga mama mkono siku 100 za mwanzo, na kuanzisha kauli kuwa 'anaupiga mwingi' n.k, ila sasa naye hamuungi mkono kwa kuwa mama anaelekea njia isiyo sahihi.

Je, na Malisa(mwanaharakati msomi), utamuita ana ego? Umelishwa nini dada? Huoni hali halisi?
 
tatizo nawaelewa watu kama nyie, kwenu mwanamke akiwa successful ni tishio kwa ego zenu, pole we, as i said she is there until 2030,there's nothing you can do, tuendelee kubwabwaja humu ila hili la kwako kufanya research kijijini lililikua ZITO, wewe utabisha hata jua linatoka wapi for the sake of kubishana tuu
Hapana wewe ndio mbishi na huna hoja za msingi katika hili, mimi nimesema kwa upepo huu ni ngumu kuchaguliwa kugombea, achana na kuchaguliwa na wananchi. Mpasuko katika chama ni mkubwa, hii ni dosari ya kwanza. Pili ni hayo matozo na madude mengine mengi mno. Ni hivyo tu!
 
tatizo nawaelewa watu kama nyie, kwenu mwanamke akiwa successful ni tishio kwa ego zenu, pole we, as i said she is there until 2030,there's nothing you can do, tuendelee kubwabwaja humu ila hili la kwako kufanya research kijijini lililikua ZITO, wewe utabisha hata jua linatoka wapi for the sake of kubishana tuu
Hatutafuti mshindi, tunaelekezana tu! Eti mwanamke akiwa na mafanikio, yaani umeshaanza kuleta ujinsia mara hii? hii ni shida kidogo, kingine acha kuji-feel inferior, hakuna anayewadharau wanawake hususani mama yetu katika uongozi, ila utendaji wa hovyo na kupuyanga hufanya viongozi hao wa kike wadharauliwe, na si wanawake wote.
 
Ujinsia na tozo vyote vina-matter.
Anakuwa rejected na wasomi na wanaharakati wakubwa kwa sababu ya ujinsia(na hata baadhi ya watu wengine wengi ikiwemo wanaume kwa wanawake Waislam na wasio Waislam).

Pia anakuwa rejected na WATU WENGI WA TZ kwa sababu ya TOZO na mifumuko ya bei, hivyo ndivyo tozo na ujinsia vinapohusiana. Nafikiri umeelewa! Una lingine hujaelewa tafadhali?

anakua rejected na wasomi??, wasomi wana analyse mambo na kamwe hawawezi kumuita mjinsia mtu bila concrete evidence, wewe zaidi ya hii incidence ya kura una sababu nyingine ya kumuita mjinsia???

mifumuko ya bei,sijui nini ni wewe kutafuta pa kushika, hata serikali zilizopita zilikuwa na challenges zake, Magufuli hakupandisha mishahara,alikuwa mtu wa vitu,ndege kuna watu wengi walikuwa hawa approve na bado alichaguliwa tena.....

Kwa taarifa yako,population ya wanawake Tanzania imewazidi kidogo sana wanaume, is almost similar one to one, so kama unahofia kuchaguliwa mwanamke kwa kudhani wanawake ni wengi pole uko wrong
 
Back
Top Bottom