Ni suala la mda tu,Rostam Aziz anaenda kuwa Tajiri namba moja Tanzania.

Lowasa, Magufuli na "upotevu" wa trillion zetu ndio CCM hiyo, chama cha MAFISADI PAPA .
 
Kuhusu dili sahau!RA atapewa fursa pekee na kwa sharti kuu la kulipa kodi.
afu akilipa kodi yeye RA atapata faida gani?Ni kwamba rasmi sasa magufuli nae anaingia kwenye madili ya mjini.
Yote haya ni sababu ya rais kuwa na kinga ya madaraka.anapanga na kupangua anavyotaka anajua hakuna wa kumfunga.Ila kama sheria hii ingefutwa adabu ingekuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitakaa nikawaamini wanasiasa maishani mwangu,especially hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom