Ni suala la mda tu,Rostam Aziz anaenda kuwa Tajiri namba moja Tanzania.

Mfanya biashara mkubwa Tena aliye karibu na Rais halafu mwana CCM. Kisha alipe kodi?.hizo ni ndotooo
Jabari la mipango na fitina hatmaye leo limeonekana tena ndani ya mwewe KIJANI!

Katika Siasa za Tanzania huwezi kumkwepa RA na ukabaki salama!RA ni zee la MIPANGO na FITINA.Zaidi ni JABARI la MITANDAO YOTE YA KHERI na VINGINEVYO unavyoweza kutabanaisha wewe.UNAMKWEPAJE MTU WA AINA HIYO?!

Rasmi,Mhe Rais kalirejesha JABARI HILO NYUMBANI.Hakuwa na NAMNA!Hiyo ni kwa faida yake yeye mwenyewe na Chama chake.

Niseme tu sasa rasmi RA anaenda kuwa mfanyabiashara mkubwa sana sana tena zaidi ya sana hapa Tz.Atapewa fursa kama zote kwa SHARTI MOJA TU-ALIPE KODI!

HONGERA JPM KWA HESABU KALI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sinza iko wapi RA kuwa mfantabiashara mkubwa? Dhambi yake itakuwa kama ataijenga himaya yake kwa dhuluma na wizi na uonevu. Asipolipa kodi that is a problem. Akiibia watanzania that is a problem. Making legal money...why not???
 
RA ndiye aliyeasisi uhamisho wa EL. Kumbuka jamaa mjaja sana kwenye siasa za Africa na chumi zake.

Kaa mbali sana na Kagoda.....
 
Jabari la mipango na fitina hatmaye leo limeonekana tena ndani ya mwewe KIJANI!

Katika Siasa za Tanzania huwezi kumkwepa RA na ukabaki salama!RA ni zee la MIPANGO na FITINA.Zaidi ni JABARI la MITANDAO YOTE YA KHERI na VINGINEVYO unavyoweza kutabanaisha wewe.UNAMKWEPAJE MTU WA AINA HIYO?!

Rasmi,Mhe Rais kalirejesha JABARI HILO NYUMBANI.Hakuwa na NAMNA!Hiyo ni kwa faida yake yeye mwenyewe na Chama chake.

Niseme tu sasa rasmi RA anaenda kuwa mfanyabiashara mkubwa sana sana tena zaidi ya sana hapa Tz.Atapewa fursa kama zote kwa SHARTI MOJA TU-ALIPE KODI!

HONGERA JPM KWA HESABU KALI!
Team Membe ilimnyima usingizi imebid asajili maveteran sasa
 
Viongoz wa ccm hua wanakemea rushwa kwa staili ya debe tupu ila kivitendo hao ndio wapiga dili hasa na uhai was ccm n rushwa ndo maana tunasilia matrion yamepotea Mara manunuz yasiyofuat utaratibu hususani chaguzi zinavyokaribia,pesa ishanoga ikulu
 
Maweee nchi imekwenda pembe, biashara palepale mpk 2025 tutakua na tembo wawili tu. Deni litakuwa matrilioni 100 na dili za kizamani hakuna tena wao tu. Mamaaaa watakua matajiri wa kutoosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jabari la mipango na fitina hatmaye leo limeonekana tena ndani ya mwewe KIJANI!

Katika Siasa za Tanzania huwezi kumkwepa RA na ukabaki salama!RA ni zee la MIPANGO na FITINA.Zaidi ni JABARI la MITANDAO YOTE YA KHERI na VINGINEVYO unavyoweza kutabanaisha wewe.UNAMKWEPAJE MTU WA AINA HIYO?!

Rasmi,Mhe Rais kalirejesha JABARI HILO NYUMBANI.Hakuwa na NAMNA!Hiyo ni kwa faida yake yeye mwenyewe na Chama chake.

Niseme tu sasa rasmi RA anaenda kuwa mfanyabiashara mkubwa sana sana tena zaidi ya sana hapa Tz.Atapewa fursa kama zote kwa SHARTI MOJA TU-ALIPE KODI!

HONGERA JPM KWA HESABU KALI!
Sijui kamlipa lowassa kiasi gani,
 
Alipopata urais si walikuwa anawananga ni mafisadi ,sasa Leo kawarudisha chamani mafisadi wote sijui anahitaji msaada gani kwao ,si alijidai kila kitu anaweza mwenyewe na wahuni wake kina Bashite .
 
Jiwe limegeuka kua kimiminika, aibu kubwa sana, ameangalia kushoto na kulia akaona #2020 ni mwereke wa mende.

● Katafakari MABEBERU hawapo upande wake, na watawafadhili UPINZANI kwa hali na mali.

Hoja, Je nani atakaemfadhili yeye na #Team Lumumba FC kwenye uchaguzi mkuu????

> > Wakizingatia nchi imeyumba kifedha na haipati misaada kama mwanzo!!!! Matajiri nchini wamesha sulubiwa kisawasawa na hawako tayari kuifadhili CCM (Mo Dewj, Manji, Rugemarila n.k).... Kifupi nchi haina hela!!!!

● Afanye nini kujinusuru na huo mwereka asiangukie kidevu???

JIBU: Rudisha lumumba Bwana LOWASSA na Bwana ROSTAM AZIZ wajekufadhili chama, waseti mipango na fitina, na warudishe wafadhili wa nje ya nchi (wana connection za nje nyingi).

#TanzaGIZA Totoroooooooo
 
Back
Top Bottom