Ni suala la mda tu,Rostam Aziz anaenda kuwa Tajiri namba moja Tanzania.

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Jabari la mipango na fitina hatmaye leo limeonekana tena ndani ya mwewe KIJANI!

Katika Siasa za Tanzania huwezi kumkwepa RA na ukabaki salama!RA ni zee la MIPANGO na FITINA.Zaidi ni JABARI la MITANDAO YOTE YA KHERI na VINGINEVYO unavyoweza kutabanaisha wewe.UNAMKWEPAJE MTU WA AINA HIYO?!

Rasmi,Mhe Rais kalirejesha JABARI HILO NYUMBANI.Hakuwa na NAMNA!Hiyo ni kwa faida yake yeye mwenyewe na Chama chake.

Niseme tu sasa rasmi RA anaenda kuwa mfanyabiashara mkubwa sana sana tena zaidi ya sana hapa Tz.Atapewa fursa kama zote kwa SHARTI MOJA TU-ALIPE KODI!

HONGERA JPM KWA HESABU KALI!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom