Bakhresa sio tajiri namba moja tanzania hapana ila tajiri namba moja ni ni rostam aziz soma hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bakhresa sio tajiri namba moja tanzania hapana ila tajiri namba moja ni ni rostam aziz soma hapa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C.T.U, Nov 24, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua
  kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make billions of tshs .....
  Sema kwa kuwa ni mwanasiasa nyingi hazitajwi.. Ili asije kuonekana ni fisadi
  inasemekana kawekeza kwenye mawasiliano na kwenye usafirishaji na huko kwenye usafirishaji ndio maana reli ya kati imekufa haifanyi kazi...... Ana malori yake ya mafuta na mizigo inayopfanya kazi kwenda burundi na rwanda ila ni kwa majina ya wafanyabiashara wakubwa nimesikia kawekeza kwenye mawasiliano (vodacom) ila sina uhakika.....
  Mimi nimesikia hayo ila kwa faida ya wana jamvi wenye ukweli juu ya hili basi watueleze kuhusu huyu jamaa kwa wanayojua na vyanzo vyake
  coz watu wanasema huyu mwarabu na mwenzie mmasai mzee wa nywele nyeupe wana biashara ambazo watanzania tunazitumia kila siku na kuwafanya watajirike yaani ni kwamba wameshika idara nyeti sana walipoekeza kiasi kwamba kila siku watanzania tunatumia bidhaa zao hawa jamaa kuna mwenye data kuhusu hili?
   
Loading...