Ni starehe au Mateso!!

This is known as 'a suicide'.

pombe.jpg

Hizi ni pesa za michoro, huwezi kuhesabu siku 30 za kalenda halafu upokee mshiko ukafanye hivi!!
 
imenikumbusha nyimbo moja inayosema,unapopata tumia,unapokosa jutia,kweli starehe na pesa ni kama mapacha.
 
Ahahahahahahahaaaa....duuuh ebana eeeh nimecheka kweli.....duuuh....ukisikia full kujiachia ndio huko sasa.

Yule wa kushoto mwenye suruali nyeusi ni mzalendo Teamo.....huyo aliye kifudifudi hapo katikati ni mkemia Aspirin......na mazee Bigirita ndio huyo hapo aliye chali upande wa kulia.....

Yaani bado nacheka....machizi wako chicha hadi wamezima kabisa.....halafu hapo ukute ndio wanakoroma sasa....aaah huu ulabu huu....una viroja kweli kweli

Hahahahaha!
Hapo kamanda hujawaona kina Charity, JS na Noname. Walikuwa wamelala upande wa pili baada ya kuwapiga mabiere na maexercise ya kufa mtu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom