Ni soni kuu Rais kwenda Kagera kwa mbwembwe muda huu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni soni kuu. Ni soni kwa wote waliohusika na wanaohusika kufanikisha ziara ya Rais Magufuli mkoani Kagera. Haileti ladha,muda huu,Rais kutua Kagera kwa mbwembwe.

Lilipotokea tetemeko kule Kagera,wanaKagera walichangiwa. Kubwa zaidi,waathirika wa tetemeko walihitaji faraja. Faraja juu ya misiba iliyowakuta na mateso yaliyowakabili.

WanaKagera,kwa sauti na vitendo,vyao na vya wengine,walimhitaji Rais Magufuli. Walimhitaji kiongozi wao mkuu wa nchi akawaone na kuwafariji. Wakamsubiri bila kiburi na kwa hamu muhimu. Rais hakwenda. WanaKagera wakashangaa na kusinyaa.

Hainogi kuona au kusikia kuwa Rais anakwenda Kagera muda huu na kupanga kuhutubia kwa mbwembwe. Kisiasa,Rais hata-gain chochote!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Akili zingine bwana ni shida, Rais unampangia mda wa kwenda Kagera, Urais ni Taasisi nasiyo JPM, kutokana na udumavu wa akili yako unadhani urais ni JPM, Viongozi wakuu wa kitaifa walishakwenda nakuwafariji ndugu zetu wa kagera na sasa mkuu mwenyewe kapata mda na amekwenda. Sijui kwanini unasema amekwenda na mbwembwe, nadhani ni udumavu wa akili yako jambo ambalo hatuna uwezo wakukusaidia labda kukuombea kwa Mola.
 
Tena na kwenye kuhutubia utaskia katonesha kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona.
Mimi ningeomba awambie ni sababu gani ilisababish asiende kuwatembelea watakati wa tetemeko ili hali barua ilitoka ikulu kuwa raisi kairisha ziara ya Zambia kwa ajari ya Kagera,.
Then aseme hela za tetemeko tulizochanga kala nani ?
 
Wanafiki siku zote hawana aibu Mkuu. Heri ya mwaka mpya na kila la heri na baraka katika mwaka huu mpya wa 2017.

Ni soni kuu. Ni soni kwa wote waliohusika na wanaohusika kufanikisha ziara ya Rais Magufuli mkoani Kagera. Haileti ladha,muda huu,Rais kutua Kagera kwa mbwembwe.

Lilipotokea tetemeko kule Kagera,wanaKagera walichangiwa. Kubwa zaidi,waathirika wa tetemeko walihitaji faraja. Faraja juu ya misiba iliyowakuta na mateso yaliyowakabili.

WanaKagera,kwa sauti na vitendo,vyao na vya wengine,walimhitaji Rais Magufuli. Walimhitaji kiongozi wao mkuu wa nchi akawaone na kuwafariji. Wakamsubiri bila kiburi na kwa hamu muhimu. Rais hakwenda. WanaKagera wakashangaa na kusinyaa.

Hainogi kuona au kusikia kuwa Rais anakwenda Kagera muda huu na kupanga kuhutubia kwa mbwembwe. Kisiasa,Rais hata-gain chochote!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Ni soni kuu. Ni soni kwa wote waliohusika na wanaohusika kufanikisha ziara ya Rais Magufuli mkoani Kagera. Haileti ladha,muda huu,Rais kutua Kagera kwa mbwembwe.

Lilipotokea tetemeko kule Kagera,wanaKagera walichangiwa. Kubwa zaidi,waathirika wa tetemeko walihitaji faraja. Faraja juu ya misiba iliyowakuta na mateso yaliyowakabili.

WanaKagera,kwa sauti na vitendo,vyao na vya wengine,walimhitaji Rais Magufuli. Walimhitaji kiongozi wao mkuu wa nchi akawaone na kuwafariji. Wakamsubiri bila kiburi na kwa hamu muhimu. Rais hakwenda. WanaKagera wakashangaa na kusinyaa.

Hainogi kuona au kusikia kuwa Rais anakwenda Kagera muda huu na kupanga kuhutubia kwa mbwembwe. Kisiasa,Rais hata-gain chochote!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tena azomewe kabisa
 
Wakati ana maliza kampeni pale mwanza kuna kisiwa kisiwa cha bukoba aliahidi akishinda ataenda kuwashukuru wa kwanza kwani anajua kura watampa.ajabu hajaenda hata maafa yalipowayokea.
 
Back
Top Bottom