Ni software gani hutumika kutengenezea video za music?

Ni software gani hutumika kutengenezea video za music?

Ni just ku-shoot kwa kutumia pro video camera kama sony 170 pd na then wana-edit kwa kutumia software aina ya Final Cut Pro kwenye computers za Mac!
 
Back
Top Bottom