MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 305
Mwandishi nani?Riwaya ya mwanafunzi mchawi
Kwa kweli ilikuwa bonge la simulizi nami niliifatilia kiasi chacheAisee nilikuwa addicted na riwaya ya PANIELA mkuu cc: luggy heshima kwako
Peniela mjasiliamwili
Ase!haujaisoma "Mke Wa Raisi"?peniela
Jamaa hafai!Kwangu simulizi kumuhusu Edward snowden ilinisisimua piaCarlos the Jackal
Pitia na mojawapo nilizozitaja hapoPeniela
Lala moja naye hajambo!Naikumbuka iliyokuwa inamuhusu Father fulani aliyefariki kwa kansa.Ila Lala1 mmhhNa story za rala 1 mbona ujaweka ata zake ni hatari
Yule Dada mmmh!sidhani kama ni ukimwi akipima ataukosa
Kwanini usiweke na link za nyuzi hizo mkuu?Habarini Jf members,
Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha.
Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni:
1:Mke wa Rais
2eniela(story ya kijasusi)
3:Nililala na maiti nitajirike.
Kwangu story ya "Mke Wa Rais" imekuwa story ya Funga mwaka chini ya mtunzi Ibra87.
Je,story gani iligusa hisia zako kindakindaki kwa mwaka unaoisha???
Cc Shunie
Sohwa.
Ibra87
Nemesis