Yeah ni mnyama mmoja na nusu anasumbua sana mijini na viunga vyake๐๐Nimetizama tu bettry nikajua unatumia mnyama Xiaomi boss wangu

performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.
According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.
Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.
4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)
Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,
Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800
Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.
ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.
display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.
camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.
Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Nimesoma maoni ya kila mtu, kila mtu anavutia kwake. Je wale wanaosema labda Tecno si nzuri je ukipiga inaongea kichina?1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Masaa mangapi approximately kama data ikiwa on?
Hazichelewi kuelemewa unapoweka vitu,Kila unavyotumia ndivyo inavyozidi kupoteza ubora,camera ya ovyo iko saturated haina uhalisia unapopiga kitu na inapungua ubora kadri unavyozidi kuitumia,kuna mengi madhaifu na hata inafika mda tecno inaanza matatizo ya kustack kujizima na kuwaka unaweza kuta unapigiwa simu akafu ikachukua dk nzima kupokea.Nimesoma maoni ya kila mtu, kila mtu anavutia kwake. Je wale wanaosema labda Tecno si nzuri je ukipiga inaongea kichina?
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Kiongozi Nina lako 3 bajeti, naweza pata simu gani bora kwa hizi kampuni nzurinzuri.performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.
According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.
Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.
4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)
Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,
Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800
Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.
ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.
display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.
camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.
Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Unapata Galaxy A10 na chenji kidogo Inabaki,Kiongozi Nina lako 3 bajeti, naweza pata simu gani bora kwa hizi kampuni nzurinzuri.
Hivi wanavyosema non removable battery ina maana Battery likifa halibadilishiki.?Unapata Galaxy A10 na chenji kidogo Inabaki,
LunabadilishwaHivi wanavyosema non removable battery ina maana Battery likifa halibadilishiki.?
Linabadilishika ila mpaka ufungue simu ulitoe ndani. Baadhi ya simu Hadi ubandue kioo ndio unapata battery.Hivi wanavyosema non removable battery ina maana Battery likifa halibadilishiki.?
mkuu una galaxy s5?Nunua samsung galaxy s6 kwa 300000k tu achana na izo. 32gb memory camera bomba 3gb ram. Nipigie 0716119347View attachment 1153926View attachment 1153927
hizi simu za non removable battery ni za ovyo sana,wanataka betri likifa ununue simu nyingineLinabadilishika ila mpaka ufungue simu ulitoe ndani. Baadhi ya simu Hadi ubandue kioo ndio unapata battery.