Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Kwa anae jua Redmi note 9 kwenye maduka ya sim mikoani aniambie maana kwa upande wangu siwezi agiza sim wala kununua Tigoshop kwani tigoshop itakulazim utumie line ya Tigo kwa upande mmoja. Hii ni kutokana na kuusoma huu uzi na kujua ushauri ulio tolewa Chief-Mkwawa
Redmi za Tigo ni unlocked, unless wameanza karibuni ku lock simu.

Na bei za mtaani ni karibia mara 2 ya bei ya Tigo
 
Kwa anae jua Redmi note 9 kwenye maduka ya sim mikoani aniambie maana kwa upande wangu siwezi agiza sim wala kununua Tigoshop kwani tigoshop itakulazim utumie line ya Tigo kwa upande mmoja. Hii ni kutokana na kuusoma huu uzi na kujua ushauri ulio tolewa Chief-Mkwawa

Simu zote kubwa za tigoShop hazikulazimishi kutumia line yao.

Utalazimika kutumia line yao endapo utanunua visimu vidogo kama vitochi.
 
Wakuu samsung A22 ina camera nzuri maana natafuta sim yenye camera nzuri
Screenshot_20220218-201803.jpg
 
Hapo kwa kusoma tu majina napata jibu kwamba namba 2 ndo zaidi.

Hakuna simu apo mkuu,si kuwa nadharau hapana,pengine bora hao wengine ila kuna jamaangu ametumia A10 ni kichaka cha gambosh,
Aongeze budget yake apate sim nzuri
 
Back
Top Bottom